BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 917
- 2,217
- Thread starter
-
- #21
Miaka mi2...!!nlianza 2018Hongera sana! kamanda
Una mda gani kwenye biashara yako
I swear, huu ni uongo wa hali ya juu. Miaka miwili, kwa biashara ya duka uweze ku-raise kutoka laki 2 hadi milioni 8?Kwakweli....hii biashara cjawah kufikiria kufanya...!!kikubwa knachonsaidia ni nnajua kuzungumza na watu....!!kujiongeza na ubunifu
Mimi nilianza na laki 2..!!mpaka sasa angalau mtaji umekua mpk mil.8
Sent using Jamii Forums mobile app
I swear, huu ni uongo wa hali ya juu. Miaka miwili, kwa biashara ya duka uweze ku-raise kutoka laki 2 hadi milioni 8?
Hata kama ungekuwa upo katika location nzuri vipi, haiwezi kutokea. Labda kama ulikosea kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama nyie huwa ni wa kupiga risasi tu mtoweke duniani, mnaua sana ndoto za watu na kuzuia wengi kuthubutu.I swear, huu ni uongo wa hali ya juu. Miaka miwili, kwa biashara ya duka uweze ku-raise kutoka laki 2 hadi milioni 8?
Hata kama ungekuwa upo katika location nzuri vipi, haiwezi kutokea. Labda kama ulikosea kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu kama hawa ni kuwakalia kimya tu.Uwezo wako wa akili mdogo ndo maana unasema haiwezekani.....!!unaposema kitu hakiwezekan jua hyo ndo dalili ya kuwezekana kwake....sema akili yako inakua imefikia mwisho wa kufikiri
Nilijifunza kuwa fundi simu nkaweka huduma hyo dukan
Nilianza pia kufanya ishu za udalali wa cm..nyumba na mashamba
Nilijiunga na huduma za kusajili laini nikaweka huduma dukan
Nilijiunga na huduma ya selcom super agent(kuunga mawakala wapya selcom)
Nilijiunga na huduma za vocha za kurusha
Kikubwa zaidi faida sikuitumia bali nljazia kwenye mtaji
Haaya nakuuliza tena....!!haiwezekani??...ni uongo wa hali ya juu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu kama hawa ni kuwakalia kimya tu.
Katika biashara yoyote bila kujali ukubwa au udogo wake ukiwa mbunifu na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja unaweza kutoboa ndani ya muda mfupi sana, tatizo wengi hawataki kujifunza na pia wavivu.
Mtu anaanzisha duka anakaa anasubiri wateja kama boss, mteja anafika unamhudumia kana kwamba wewe huna shida yaani mteja ndo mwenye shida sana kwasababu kama dukani kwako.
Nakumbuka nilishawah wajibu wauzaji wa duka fulani hapa mjini kwasababu ya vitu ambavyo mtu anashindwa kujiongeza.
Case 1. Nimefika dukani muuzaji anachezea smartphone huku ananisikiliza, sijui ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa nayo. Niliacha kuelezea shida yangu nikamuambia jifunze namna ya kufanya biashara, huwa sihudumiwi na watu kama nyie msiojua thamani ya mteja. Niliondoka na aliona aibu kiukweli nilivyomuangalia usoni hata kuongea alishindwa.
Case 2. Hii ilikuwa maeneo ya mbagala huko, narudi skani nikasema ngoja nipite sokoni hapa kununua baadhi ya vitu, nafika nikaulizia bidhaa mhudumu yeye anafuta vumbi bidhaa zingine huku ananisikiliza, nikamuambia njoo mara moja ili tumalize hapa, jamaa akaninijibu, "mimi niko hapa we chagua tu halafu uniambie". Hiyo kauli nikaitafakari kisha bidhaa nilizokuwa nimeshika mkononi zote nikazitupa hapo kwenye meza yake na nikamsonya vilivyo kisha nikaondoka na kununua kwa jirani yake pembeni.
Zipo cases nyingi ambazo nishakutana nazo, kiujumla biashara siyo kuwa na mtaji, biashara ni zaidi ya kuwa na mtaji mkuu.
Binafsi nikifika dukani kwako mahitaji yangu huwa siyapi kipao mbele sana ila namna itakavyonihudumia kiujumla ndo itakayo determine kiwango cha uhitaji wangu.
Wengi hawajui maana ya biashara, wakidhani biashara ni kuuza na kununua tu, ebu tubadilikeni.