Nahitaji kuongeza biashara hapa dukani

Nahitaji kuongeza biashara hapa dukani

Kwakweli....hii biashara cjawah kufikiria kufanya...!!kikubwa knachonsaidia ni nnajua kuzungumza na watu....!!kujiongeza na ubunifu

Mimi nilianza na laki 2..!!mpaka sasa angalau mtaji umekua mpk mil.8

Sent using Jamii Forums mobile app
I swear, huu ni uongo wa hali ya juu. Miaka miwili, kwa biashara ya duka uweze ku-raise kutoka laki 2 hadi milioni 8?

Hata kama ungekuwa upo katika location nzuri vipi, haiwezi kutokea. Labda kama ulikosea kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Uwezo wako wa akili mdogo ndo maana unasema haiwezekani.....!!unaposema kitu hakiwezekan jua hyo ndo dalili ya kuwezekana kwake....sema akili yako inakua imefikia mwisho wa kufikiri

Nilijifunza kuwa fundi simu nkaweka huduma hyo dukan

Nilianza pia kufanya ishu za udalali wa cm..nyumba na mashamba

Nilijiunga na huduma za kusajili laini nikaweka huduma dukan

Nilijiunga na huduma ya selcom super agent(kuunga mawakala wapya selcom)

Nilijiunga na huduma za vocha za kurusha

Kikubwa zaidi faida sikuitumia bali nljazia kwenye mtaji

Haaya nakuuliza tena....!!haiwezekani??...ni uongo wa hali ya juu??

Watu kama nyie huwa ni wa kupiga risasi tu mtoweke duniani, mnaua sana ndoto za watu na kuzuia wengi kuthubutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wako wa akili mdogo ndo maana unasema haiwezekani.....!!unaposema kitu hakiwezekan jua hyo ndo dalili ya kuwezekana kwake....sema akili yako inakua imefikia mwisho wa kufikiri

Nilijifunza kuwa fundi simu nkaweka huduma hyo dukan

Nilianza pia kufanya ishu za udalali wa cm..nyumba na mashamba

Nilijiunga na huduma za kusajili laini nikaweka huduma dukan

Nilijiunga na huduma ya selcom super agent(kuunga mawakala wapya selcom)

Nilijiunga na huduma za vocha za kurusha

Kikubwa zaidi faida sikuitumia bali nljazia kwenye mtaji

Haaya nakuuliza tena....!!haiwezekani??...ni uongo wa hali ya juu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu kama hawa ni kuwakalia kimya tu.

Katika biashara yoyote bila kujali ukubwa au udogo wake ukiwa mbunifu na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja unaweza kutoboa ndani ya muda mfupi sana, tatizo wengi hawataki kujifunza na pia wavivu.

Mtu anaanzisha duka anakaa anasubiri wateja kama boss, mteja anafika unamhudumia kana kwamba wewe huna shida yaani mteja ndo mwenye shida sana kwasababu kama dukani kwako.

Nakumbuka nilishawah wajibu wauzaji wa duka fulani hapa mjini kwasababu ya vitu ambavyo mtu anashindwa kujiongeza.

Case 1. Nimefika dukani muuzaji anachezea smartphone huku ananisikiliza, sijui ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa nayo. Niliacha kuelezea shida yangu nikamuambia jifunze namna ya kufanya biashara, huwa sihudumiwi na watu kama nyie msiojua thamani ya mteja. Niliondoka na aliona aibu kiukweli nilivyomuangalia usoni hata kuongea alishindwa.

Case 2. Hii ilikuwa maeneo ya mbagala huko, narudi skani nikasema ngoja nipite sokoni hapa kununua baadhi ya vitu, nafika nikaulizia bidhaa mhudumu yeye anafuta vumbi bidhaa zingine huku ananisikiliza, nikamuambia njoo mara moja ili tumalize hapa, jamaa akaninijibu, "mimi niko hapa we chagua tu halafu uniambie". Hiyo kauli nikaitafakari kisha bidhaa nilizokuwa nimeshika mkononi zote nikazitupa hapo kwenye meza yake na nikamsonya vilivyo kisha nikaondoka na kununua kwa jirani yake pembeni.

Zipo cases nyingi ambazo nishakutana nazo, kiujumla biashara siyo kuwa na mtaji, biashara ni zaidi ya kuwa na mtaji mkuu.

Binafsi nikifika dukani kwako mahitaji yangu huwa siyapi kipao mbele sana ila namna itakavyonihudumia kiujumla ndo itakayo determine kiwango cha uhitaji wangu.

Wengi hawajui maana ya biashara, wakidhani biashara ni kuuza na kununua tu, ebu tubadilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yp mkuu...!!huyu nmemjibu kwakuw najua tatzo sio yeye bali ni akili yake....yeye anaamini kwamba ukifungua duka bas n kukaa tu dukan ukisubiri hela....!!

Mimi kuna kipindi hua nafunga duka ht mpk jioni nkiambiwa kuna elf 30 ntaipata sehem nyngne

Mimi hapa nlpo kuna maduka ma3 na wote tunauza bidhaa znazofanana....lkn nmeweka mazingra ya watu kutambua umuhim kipindi sipo

Nimejitahd kuweka bidhaa tofauti na zilizozoeleka....perfume...airfresh...lotion...kufuli mpk bulb na zngne kbao....!!just n kwakuwa nataka mteja amalize shda zote kwangu...!!

Watu kama huyo jamaa ndo wanaoamini kuwa hawawezi kufika mbali....wao wanataka biashara kubwa ziwatoe...!!sikatai....akili za kimaskin zmemjaa
Mkuu watu kama hawa ni kuwakalia kimya tu.

Katika biashara yoyote bila kujali ukubwa au udogo wake ukiwa mbunifu na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja unaweza kutoboa ndani ya muda mfupi sana, tatizo wengi hawataki kujifunza na pia wavivu.

Mtu anaanzisha duka anakaa anasubiri wateja kama boss, mteja anafika unamhudumia kana kwamba wewe huna shida yaani mteja ndo mwenye shida sana kwasababu kama dukani kwako.

Nakumbuka nilishawah wajibu wauzaji wa duka fulani hapa mjini kwasababu ya vitu ambavyo mtu anashindwa kujiongeza.

Case 1. Nimefika dukani muuzaji anachezea smartphone huku ananisikiliza, sijui ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa nayo. Niliacha kuelezea shida yangu nikamuambia jifunze namna ya kufanya biashara, huwa sihudumiwi na watu kama nyie msiojua thamani ya mteja. Niliondoka na aliona aibu kiukweli nilivyomuangalia usoni hata kuongea alishindwa.

Case 2. Hii ilikuwa maeneo ya mbagala huko, narudi skani nikasema ngoja nipite sokoni hapa kununua baadhi ya vitu, nafika nikaulizia bidhaa mhudumu yeye anafuta vumbi bidhaa zingine huku ananisikiliza, nikamuambia njoo mara moja ili tumalize hapa, jamaa akaninijibu, "mimi niko hapa we chagua tu halafu uniambie". Hiyo kauli nikaitafakari kisha bidhaa nilizokuwa nimeshika mkononi zote nikazitupa hapo kwenye meza yake na nikamsonya vilivyo kisha nikaondoka na kununua kwa jirani yake pembeni.

Zipo cases nyingi ambazo nishakutana nazo, kiujumla biashara siyo kuwa na mtaji, biashara ni zaidi ya kuwa na mtaji mkuu.

Binafsi nikifika dukani kwako mahitaji yangu huwa siyapi kipao mbele sana ila namna itakavyonihudumia kiujumla ndo itakayo determine kiwango cha uhitaji wangu.

Wengi hawajui maana ya biashara, wakidhani biashara ni kuuza na kununua tu, ebu tubadilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku hua nasema kuwa biashara co bidhaa....bali n muuzaji...!muuzaji ndo anayewaklisha bidhaa zake...!!watanzania kuna haja ya kubadilika kwakweli

Back
Top Bottom