RAYAN THE DON
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 679
- 1,218
Habari zenu wakuu?
Wakuu kiukweli nampenda sana huyu mtoto mzuri MIMI MARS ambaye ni mdogo wake VANESA x wake Juma Jux.
Hivyo naomba connection na huyu mtoto.
Alishasema hataki kudate na mwanaume wa bongo hata uwe mo
Nenda pale salon ya american nails nahisi wanaweza kukusaidiamaneno tu hayo but namhitaji sana.
Mbwembwe tu hizo! Ukiwa na mzigo wa kutosha utawagonga sana hawa macelebrity wa bongo flavorAlishasema hataki kudate na mwanaume wa bongo hata uwe mo
Alishasema hataki kudate na mwanaume wa bongo hata uwe mo
Hahaha kumbe
Wanapenda pesa nyinginyingi sioMbwembwe tu hizo! Ukiwa na mzigo wa kutosha utawagonga sana hawa macelebrity wa bongo flavor
Achana nae, ana bwawaHabari zenu wakuu?
Wakuu kiukweli nampenda sana huyu mtoto mzuri MIMI MARS ambaye ni mdogo wake VANESA x wake Juma Jux.
Hivyo naomba connection na huyu mtoto.
Hata wewe unapenda pesaWanapenda pesa nyinginyingi sio
Imekuaje unanitaja ss[emoji849] hata ww unapenda ndo maana unatafutaHata wewe unapenda pesa