Nahitaji kupata mafunzo ya kupika/cookery

Tuchki

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
1,740
Reaction score
1,444
Habari Zenu natumai mko poa,

Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kua natafuta hotel yoyote iliyopo Arusha inayotoa mafunzo ya kupika Kwa ada nafuu sitaki chuo Kwa kua hawafundishi practically natafuta hotel japo niwe training. Pia kama kuna ma chef humu pia napokea michango yenu na namna mlivyopata maarifa Kwani nimeamua kuingia Rasmi kwenye sector ninayoipenda.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You tube inakutosha

Back
Top Bottom