Habari Zenu natumai mko poa,
Dhumuni la kuanzisha uzi huu ni kua natafuta hotel yoyote iliyopo Arusha inayotoa mafunzo ya kupika Kwa ada nafuu sitaki chuo Kwa kua hawafundishi practically natafuta hotel japo niwe training. Pia kama kuna ma chef humu pia napokea michango yenu na namna mlivyopata maarifa Kwani nimeamua kuingia Rasmi kwenye sector ninayoipenda.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app