Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badilisha wanaume kama watatu hivi, labda tatizo lipo kwa mtu wako
JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali
Naomba unijibu maswali haya kabla sijakujibu kiufasaha swali lako...
1. Je mzunguko wa siku zako unatimia baada ya siku ngapi???
2. Je unatambuaje kama unafanya siku za hatari???
3. Je MP yako ipo kawaida au huwa inabadilika badilika mfano mzunguko huu ni 28 unaofuatia 29 mara 30 ???
Naomba unijibu kiufasaha then nami nikujibu kutokana na majibu yako....
NAWASILISHA

Vita subira kwani bado huchachelewa. Endelea kumwomba mwenyeziMungu akujalie watoto wema.JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali