asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali
nitajie tarehe za hatari unazoshiriki hilo tendo.............
usipuuzie.