Nahitaji kupata ujauzito

sapiesia

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
32
Reaction score
12
JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali
 
Badilisha wanaume kama watatu hivi, labda tatizo lipo kwa mtu wako
 
sapiesia subiri madaktari watakuja hapa kukusaidia
 
Last edited by a moderator:
Muache bwana yako njoo kwangu within one week uta make headline
 
Namba 1 ni siku ya kwanza kuingia period. then siku zinaendelea

1,2,3,4,5, 6,7,8, 9, 10, 11,12,13,14,15,16,17,18
Period Siku salama Siku za kupata ujauzito

Hizo siku zilizopigiwa mstari ndo muafaka kupata mimba. Siku ya 14 ndio yenye uwezekano mkubwa zaidi kuzidi enzake.

JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali
 
JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali

Njoo huku Suzan umsaidie mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
Bidada, mbona unanishtua kidogo? Usiwe na hamu hivyo na hiyo mimba. Kama ingekuwa kila tendo la ndoa ni mtoto wasingeli hesabika.
Kwanza tulia, elewa kwamba mtoto ni baraka kutoka kwa Mungu. Kama uliolewa ili uzae, utapata mateso saana tu. Ati miezi 6 tayari umeshaanza kelele. Huenda umeanzia hapa jf lakini kama unafanya kazi halafu ulianzia kuulizia huko ofisini, wewe ni tayari umejiweka katika hatari ya kujitembeza kwa watu hovyo ili upate mtoto.
Nakushauri tulizana. Mpende tu mumeo wala usihangaike huku na kule, mtoto utampata tu hujachelewa.
 
Naomba unijibu maswali haya kabla sijakujibu kiufasaha swali lako...

1. Je mzunguko wa siku zako unatimia baada ya siku ngapi???
2. Je unatambuaje kama unafanya siku za hatari???
3. Je MP yako ipo kawaida au huwa inabadilika badilika mfano mzunguko huu ni 28 unaofuatia 29 mara 30 ???
Naomba unijibu kiufasaha then nami nikujibu kutokana na majibu yako....

NAWASILISHA
 
bora ww umeonesha nia
 
Pole iknow how u feel pole sana,but sali sana zen kitshidi kumtembelea dr bingwa yeuote wa maswala ya uzazi,kama upo dar muone dr yongolo au ngiloi wapo tumaini hospitali nenda na mwenzi wako,mungu stimize haja za moyo wako!
 
Maswali mazuri, nami nlitaka kumuuliza maana hawezi sema anafanya siku hatari bila kuzielezea ni zipi.
 
Jibu maswali ya mdau hapo juu iliupewe maelezo sahihi maana sredi yako haijitoshelezi.
 
JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali
Vita subira kwani bado huchachelewa. Endelea kumwomba mwenyeziMungu akujalie watoto wema.
 
JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali

Bado mda wa Kusema Kuwa wewe ni Mgumba mpaka Ipite miez 12 bila mtoto, So endelea kungonoka kwa Style zote, Mwaka ukiipita then lera uzi eako tukusaidie!
 
aisee unafanya mapenzi siku hatari...?hebu vumilia miezi 6michache au ni ya ndoa na kabla ya ndoa mliishi miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…