A asakuta same JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 14,829 Reaction score 5,035 Jan 31, 2014 #21 sapiesia said: JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali Click to expand... nitajie tarehe za hatari unazoshiriki hilo tendo............. usipuuzie.
sapiesia said: JF Dr habari,kwa kifupi tangu nimeolewa miezi 6 sasa cpati mimba na ninashiriki tendo kikamilifu hasa tarehe za hatari.msaada tafadhali Click to expand... nitajie tarehe za hatari unazoshiriki hilo tendo............. usipuuzie.
K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 758 Jan 31, 2014 #22 Jitahidi dadangu na wala usihofu mimba utapata na usiwaze miezi sita michache sana...nina miaka mitatu ya ndoa sasa mtoto bado japo mimba huwa wife anapata...so usiwaze keep faith alive
Jitahidi dadangu na wala usihofu mimba utapata na usiwaze miezi sita michache sana...nina miaka mitatu ya ndoa sasa mtoto bado japo mimba huwa wife anapata...so usiwaze keep faith alive
M masanzakona JF-Expert Member Joined Jan 2, 2014 Posts 228 Reaction score 121 Jan 31, 2014 #23 Dada, Mungu atakupa kwa majira na wakati wake
Chizi Fureshi JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 1,718 Reaction score 461 Jan 31, 2014 #24 Miezi sita tu, haraka na wasiwasi wa nini?
B Benokolongokonongose JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 213 Reaction score 52 Jan 31, 2014 #25 Nunua dawa inaitwa hormonal vidonge 10. Inawezekana shahawa hazina msaada zinapoingia HUKU!