mimi huwa napika hv, nikisha ponda ponda viaz natengeneza tobo katikati najaza nyama ya kusaga,mboga za majain,,hoho,karoti. Alafu ziba lile tobo,, mwisho napakaza ute wa yai juuu alafu naitosa kwenye mafuta,, zichemke mpk ziwe braun, tayar kwa kuliwa