Nahitaji kupika katresi idd msaada

Nahitaji kupika katresi idd msaada

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,526
Reaction score
3,341
najua huku kuna wataalam kedekede nawahitaji. nawe bi farkhina njoo upande huu
 
Last edited by a moderator:
chemsha viaz vpond vichanganye na nyama ya kusaga na karot halaf andaa pembeni ute wa yai uandae pia unga wa ngano kisha vunga vunga then uweke kwny ngano then uweke kwny ute wa yai kisha kaanga utpt katles
 
ahsante ntalifanyia kazi
 
mimi huwa napika hv, nikisha ponda ponda viaz natengeneza tobo katikati najaza nyama ya kusaga,mboga za majain,,hoho,karoti. Alafu ziba lile tobo,, mwisho napakaza ute wa yai juuu alafu naitosa kwenye mafuta,, zichemke mpk ziwe braun, tayar kwa kuliwa
 
Back
Top Bottom