just-imagine
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 374
- 449
Gari ndogo (IST)Gari ndogo kubwa
Asante kwa ushauri, gari sio nzima sana ndio maana nafikiria alternative nyingine.Gari ni zima ama bovu?
Kama gari ni zima nadhani ni bora ungetafuta dereva umlipe alipeleke kuliko kulipakia kwenye gari.
Asante. Kama unamjua hata mmoja naomba number yake.Fika jangwani pana mawakala kibao pale
Jr[emoji769]
Ngoja nione kama ninayo nitakuchekiAsante. Kama unamjuanhata mmoja naomba number yake.
Npo mkoani kwa sasa siwezi kufika jangwani.
Asante kwa ushauri, gari sio nzima sana ndio maana nafikiria alternative nyingine.
Nahitaji kulipakia na si kuendesha. Soma maelekezo vizur, na sio kwamba option ya kuendesha siijui.Mku nipe mimi hiyo deal kwa dau alilotaja huyo memba hapo juu.
Maelezo zaidi (pm)
Nahitaji kulipakia kwenye gari kubwa. Yap linatembeaLinatembea? Zima?
Sent
Gari kama haina tatizo sana ni bora ampe dereva apeleke.Gari ni zima ama bovu?
Kama gari ni zima nadhani ni bora ungetafuta dereva umlipe alipeleke kuliko kulipakia kwenye gari.
Gari ina ubovu gani? Mbona IST zinatengenzeka vizuri tu tena kwa gharama nafuu. Imekufa nini? Sema tu lina tatizo gani tukutengenezee udrive mpaka mwanzaSawa Mkuu, kila la heri.
Cc: just-imagineGari ina ubovu gani? Mbona IST zinatengenzeka vizuri tu tena kwa gharama nafuu. Imekufa nini? Sema tu lina tatizo gani tukutengenezee udrive mpaka mwanza