mu ole na majukumu kuna njia naweza kukushauri nenda pale jangwani kuna malori then ongea nao wanaweza kukusaidia ila andaa kabisa document zote za pikipiki na ikiwezekana ingia mkataba na hao jamaa.Au njia nyingine ambayo ni safe Zaidi fungua hiyo pikipiki ibaki kwenye box kama yale yanayoletewa kutoka china then nenda ofisi za posta watakusaidia kusafirisha as parcel to KaratuJe, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
Mkuu nenda jangwani pale utapata mafuso yanaenda huko wataifikisha kwa mabasi nazani niliwai kuiona dar express mitaa ya karatu kule wana ruti ya huko
😂😂😂Korona imeathiri akili za watu.
Day 1: Dar- MomboAcha uwoga chapa rapa mpk karatu.
Umetisha Chiefunatembea tu..
jana nmefka mbeya nikitokea kyaka-kagera via dom iringa zaid ya km 1700.
cha msingi tafuta koti zako kama 3 nzuri,vaa gloves,tafuta helmet ya kioo..
tembea na constant speed utakayochagua wewe.
tembea muda ambao unakuwa umeyaacha au upo nyuma ya mabasi ya dar.Madereva wa mabasi baadhi wana fujo. Malori usiyaogope madereva wako poa.
uwe na maji ya kunywa plus energy drink.ukijihisi uchov cmamisha chombo nyoosha miguu.
utafika tu usiogope wala wasikuogopesha.
hakikisha chombo umeifanyia service nzur
EMS [emoji23][emoji23]( Joking )Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
mkuu inataka uwe na roho ngumu alafu mule njia ya kwenda karatu usiku kuna wanyama kibaoDay 1: Dar- Mombo
Day 2: Mombo - Karatu
Wapo madereva wa IT wanaweza kuiendesha na ukaipata kesho ikiwa usalama.Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
Ivunje weka engine kwenye boksi taili kando na frame kando pakia kwenye basi ukiivunja inakuwa salama zaidi maana utafika kwa gharama ndogo sanaJe, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
Tapenga....Mkuu nipe niiendeshe Hadi karatu kwa gharama ya Elfu 60 ila mafuta utaweka wewe full tenki
Kuna jamaa wanaitwa Daruni, walishawahi kunisafirishia tiles tani 2.5 hadi Arusha!! Ukihitaji namba nichek ila wapo Ilala Bungoni!!Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
Apakie kwenye Lakrome 50,000 tumkuu inataka uwe na roho ngumu alafu mule njia ya kwenda karatu usiku kuna wanyama kibao
Ataibiwa pikipiki na mafuta juuTapenga....
Yaan apa naunga mkono hoja kama unaharaka safirisha tu kwa bus haya Malori yanahitaji uwe mvumilivu sanaaa[emoji38][emoji38] na usipokaa sawa gharama yaweza kuwa zaidi ya busUkipakia kwenye gari za mizgo itafka karutu si chini ya wiki hiyo...labda ubahatike upate gari linalotoka siku hiyohiyo hata hivyo utapokea baada ya siku 2 kupita
Umetoka Kyaka mpaka Mbeya kwa pikipiki??unatembea tu..
jana nmefka mbeya nikitokea kyaka-kagera via dom iringa zaid ya km 1700.
cha msingi tafuta koti zako kama 3 nzuri,vaa gloves,tafuta helmet ya kioo..
tembea na constant speed utakayochagua wewe.
tembea muda ambao unakuwa umeyaacha au upo nyuma ya mabasi ya dar.Madereva wa mabasi baadhi wana fujo. Malori usiyaogope madereva wako poa.
uwe na maji ya kunywa plus energy drink.ukijihisi uchov cmamisha chombo nyoosha miguu.
utafika tu usiogope wala wasikuogopesha.
hakikisha chombo umeifanyia service nzur
Kuna jamaa yangu juzijuzi katoka zake Karatu hadi Dar na ndani ya wiki hiyohiyo karudi Karatu. Mbona kawaida tu. Muhimu ubora wa pikipiki yenyewe.unatembea tu..