unatembea tu..
jana nmefka mbeya nikitokea kyaka-kagera via dom iringa zaid ya km 1700.
cha msingi tafuta koti zako kama 3 nzuri,vaa gloves,tafuta helmet ya kioo..
tembea na constant speed utakayochagua wewe.
tembea muda ambao unakuwa umeyaacha au upo nyuma ya mabasi ya dar.Madereva wa mabasi baadhi wana fujo. Malori usiyaogope madereva wako poa.
uwe na maji ya kunywa plus energy drink.ukijihisi uchov cmamisha chombo nyoosha miguu.
utafika tu usiogope wala wasikuogopesha.
hakikisha chombo umeifanyia service nzur