nahitaji kusoma clinical officer

nahitaji kusoma clinical officer

jajithebest

Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
45
Reaction score
8
Nimehitimu kidato cha NNE na nine faulu vizuru masomo ya sayansi focus yangu ni kusoma C.O lakin sijui jinsi kujiunga na hiyo koz plz wana janvi naombeni msada wenu
 
Taja matokeo yako kwanza ili usaidiwe kijana

Nina D ya CIVICS
Nina D ya MATHS
Nina C ya HISTORY
Nina C ya GEOGRAPHY
Nina C ya LANGUAGE
Nina B ya BIOLOGY
Nina B ya CHEMISTRY
Nina C ya PHYSICS
Nina B ya KISWAHILI
niambie na Mimi mkuu kuhusu clinical office r
 
Nina D ya CIVICS
Nina D ya MATHS
Nina C ya HISTORY
Nina C ya GEOGRAPHY
Nina C ya LANGUAGE
Nina B ya BIOLOGY
Nina B ya CHEMISTRY
Nina C ya PHYSICS
Nina B ya KISWAHILI
niambie na Mimi mkuu kuhusu clinical office r

hayo in matokeo ya rafiki yangu anataka na yeye kusoma clinical officer
 
anayejua mitihani ya kumaliza clinical asst
inaanza tarehe ngapi anisaidie
 
kuna njia mbili, ya kwanza ni kuingia website ya nacte..fuata utaratibu huko unajiunga online.
ya pili ni kuingia kwenye website ya chuo husika, huko utakuta fomu, jaza online au idownload kisha ijaze,weka viambatanisho vinavyohitajika kisha tuma kwa njia ya posta huko chuoni.

ili kuvijua vyuo vya serikali tembelea site ya nacte( vyuo vya afya).. fanya haraka maana usajili unaenda kufungwa.
 
kweli kuna dogo wangu amekosa post nadhan itamfaa
amepasua masomo ya sayans yote lakn nashangaa wamemuacha
 
Back
Top Bottom