muhinda-moja
Senior Member
- Sep 22, 2014
- 117
- 9
Jaman mwenzen nilihitim udsm Bsc education udsm,na GPA yangu ilikuwa ndogo yaani nilikuwa na lower upper second ya 3.4,na masomo ilikuwa math na chemistry,vp kwa wenye uzoefu naweza pata post graduate civil enginearing SAUT .naomba kuwasilisha ila naomba busara zitumike wakati mnanipa mawazo yenu.