Asante sana kwa taarifa.KCMC wanatoa hiyo kozi
Umeupiga mwingi Tabibu, all the bestMimi nina elimu ya kidato Cha SITA ambapo nilisoma PCB na nikipata daraja la pili nikiwa na D flat.
Nimehitimu kozi ya Utabibu [Clinical Officer] ambapo nimepata wastani wa B+.
Nahitaji kusoma shahada ya Physiotherapy
Naomba kuelekezwa ni wapi ndani na nje ya nchi ambapo naweza kusoma kwa taaluma Bora na gharama nafuu.
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kasome uje saidia wananchi wagonjwa ila kuhusu pesa utapata za kula tu.
#MaendeleoHayanaChama
Nifafanulie kidogo.Kasome uje saidia wananchi wagonjwa ila kuhusu pesa utapata za kula tu.
#MaendeleoHayanaChama
πππKasome uje saidia wananchi wagonjwa ila kuhusu pesa utapata za kula tu.
#MaendeleoHayanaChama
MUHAS na KCMCMimi nina elimu ya kidato Cha SITA ambapo nilisoma PCB na nikipata daraja la pili nikiwa na D flat.
Nimehitimu kozi ya Utabibu [Clinical Officer] ambapo nimepata wastani wa B+.
Nahitaji kusoma shahada ya Physiotherapy
Naomba kuelekezwa ni wapi ndani na nje ya nchi ambapo naweza kusoma kwa taaluma Bora na gharama nafuu.
Nilichogundua hiyo kozi watu kumbe hamuijui kabisaChangamoto ya hiyo fani; utaishia kutoa huduma za massage tu ambazo kwa sasa zinatolewa na watu wasiokuwa na ujuzi wa namna hiyo
Tupe details?Nilichogundua hiyo kozi watu kumbe hamuijui kabisa