Nahitaji kusoma Shahada ya Physiotherapy

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Mimi nina elimu ya kidato Cha SITA ambapo nilisoma PCB na nikipata daraja la pili nikiwa na D flat.

Nimehitimu kozi ya Utabibu [Clinical Officer] ambapo nimepata wastani wa B+.

Nahitaji kusoma shahada ya Physiotherapy

Naomba kuelekezwa ni wapi ndani na nje ya nchi ambapo naweza kusoma kwa taaluma Bora na gharama nafuu.
 
Umeupiga mwingi Tabibu, all the best
 
Changamoto ya hiyo fani; utaishia kutoa huduma za massage tu ambazo kwa sasa zinatolewa na watu wasiokuwa na ujuzi wa namna hiyo
 
Wee unataka kuchakata tu wanawake huna Nia njema kbsa
 
Mimi nina elimu ya kidato Cha SITA ambapo nilisoma PCB na nikipata daraja la pili nikiwa na D flat.

Nimehitimu kozi ya Utabibu [Clinical Officer] ambapo nimepata wastani wa B+.

Nahitaji kusoma shahada ya Physiotherapy

Naomba kuelekezwa ni wapi ndani na nje ya nchi ambapo naweza kusoma kwa taaluma Bora na gharama nafuu.
MUHAS na KCMC
 
Back
Top Bottom