Nahitaji kutengeneza 1 million Ijumaa na Jumamosi

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari inayonikabili, ambayo inahitaji fedha za haraka. Hivyo wakuu naomba mwenye kazi yeyote ambayo naweza kufanya online anipe niweze kumfanyia mfano, translation, report writing, donor funded proposal writing, assignment, business plan, thesis , proof reading and editing etc. Nitafanya kazi usiku na mchana uaminifu ni wa hali ya juu. Naombeni kuwasilisha kwa heshima na taadhima. Mungu awabariki sana.
Kwa sasa unaweza nipata kupitia email adress: nexusconsultinghub@gmail.com
NB: Shida isikie kwa mwenzako,
Haichagui mtu, siku wala mwaka
Haina katu taarifa shida huingia shida bila hodi
 
Weka contact wewe

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Alafu kuna kijana anatafuta kazi, ana division one form 4 ana division 2 ya 10 form 6 . Kaamvbiwa aende buguruni kiwanda cha unga.
Kuna mtu yeye aandike tu anataka 1 ml.😔

Kaka kazi cha chap nenda buguruni kiwanda cha unga. Upate hela
 
Sio vizuri kuandika ujinga na kumjibu MTU ujinga mnazingua Sana nyie waswahili na akili zenu duni.

Ukiwa huna majibu kaa kimya
 
Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari inayonikabili, ambayo inahitaji fedha za haraka. Hivyo wakuu naomba mwenye kazi yeyote ambayo naweza kufanya online anipe niweze kumfanyia mfano, translation, report writing, donor funded proposal writing, assignment, business plan, thesis , proof reading and editing etc. Nitafanya kazi usiku na mchana uaminifu ni wa hali ya juu. Naombeni kuwasilisha kwa heshima na taadhima. Mungu awabariki sana.
Kwa sasa unaweza nipata kupitia email adress: nexusconsultinghub@gmail.com
NB: Shida isikie kwa mwenzako,
Haichagui mtu, siku wala mwaka
Haina katu taarifa shida huingia shida bila hodi
Mmeninyima kazi hamtaki na mimi ninunue kiwanja nijenge? Hamtaki na mm niendeshe gari sio. Jamani naombeni kazi
 
Sidhani kama ni mahala sahihi ila kwa kifupi nimetemwa na jeshi la wananchi mwezi March 2024.. Before nilikua kwenye mafunzo ya uafisa wa jeshi kulitokea changamoto nje ya uwezo wangu nikastopishwa training so I'm confused.... I am chemist by professional, Nipo tayari kufny kazi yoyote nzr halali....
0684 015 139 whatsapp
0615 509934 normal call

Natanguliza shukrani za dhati
We nae si kuanzisha uzi wako?
 
Back
Top Bottom