Nahitaji kutengeneza 1 million Ijumaa na Jumamosi

Nahitaji kutengeneza 1 million Ijumaa na Jumamosi

Pole mkuu, mimi nimetafuta kazi mpaka nimechoka, imenibidi nitafute mtu wa kunisadia kuzunguka, nikipata kazi, mshahara wa kwanza nampa wote.
 
MREJESHO
Nimeomba vi kazi vya muda humu mpaka nimechoka, nikaona bora nibadilishe gia angani. Nimefungua ki pub kidogo nauza vinywaji baridi na pombe. Hii biashara nzuri san yaani unausa na wewe unapewa ofa unakunywa mara aje mtu anunue konyaki akwambie shutua hapo kidogo, raha sana kweli walefi wanapendana hapa tangu asubuhi nishakunya bia 8. Kweli biashara ya pobe inalipa.
 
Back
Top Bottom