UNSPECIFIED
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 792
- 2,609
Mimi sio mtu wa IT . Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea Application Kwa matumizi fulani kulingana na maelekezo nitakayompa na yeye kuongezea ideas zake.
Nikawaza option ya kwenda Chuo Kikuu chochote nitafute madogo watukutu wanitengenezee niwalipe tumalizane lakini nikawaza je nikimalizana nao wakaingiwa na tamaa na kubaki na copy/idea ya hiyo kazi yangu akaiuza au akaingiza sokoni bila utaratibu itakuwaje?
Option ya pili ni kwenda Kwa haya makampuni ya IT lakini nako Sina Abcs namna ya kudeal nao ili wazo langu liwe salama .
Na je Kuna taratibu gani za kisheria zinazotakiwa kufuatwa kabla ya kuingiza App sokoni?
Najua kuna manguli humu wa hii tasnia naombeni ushauri namna nitakavyokamilisha kazi yangu.