Nahitaji kutengenezewa App

Nahitaji kutengenezewa App

UNSPECIFIED

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
792
Reaction score
2,609
Mimi sio mtu wa IT . Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea Application Kwa matumizi fulani kulingana na maelekezo nitakayompa na yeye kuongezea ideas zake.

Nikawaza option ya kwenda Chuo Kikuu chochote nitafute madogo watukutu wanitengenezee niwalipe tumalizane lakini nikawaza je nikimalizana nao wakaingiwa na tamaa na kubaki na copy/idea ya hiyo kazi yangu akaiuza au akaingiza sokoni bila utaratibu itakuwaje?

Option ya pili ni kwenda Kwa haya makampuni ya IT lakini nako Sina Abcs namna ya kudeal nao ili wazo langu liwe salama .

Na je Kuna taratibu gani za kisheria zinazotakiwa kufuatwa kabla ya kuingiza App sokoni?

Najua kuna manguli humu wa hii tasnia naombeni ushauri namna nitakavyokamilisha kazi yangu.
 
Mkuu nimekutumia Message, nipe hii kazi
 
Mkuu nipe hiyo kazi, napiga code mpaka lenovo inasema YES, nimeshaunguza RAM 4 mwaka huu, Usijal kuhusu usalama wa idea yako.
My CORE VALUES
✔Creativity
✔Honesty
✔Collaboration
✔Excellence
IMG-20241212-WA0003.jpg
 
Nina Domain zuri sana, hasa kwenye social networking Web & app itasambaa mapema sana hapa duniani . 🥳🥳🥳🥳
 
Mimi sio mtu wa IT . Nahitaji mtaalam wa kunitengenezea Application Kwa matumizi fulani kulingana na maelekezo nitakayompa na yeye kuongezea ideas zake.

Nikawaza option ya kwenda Chuo Kikuu chochote nitafute madogo watukutu wanitengenezee niwalipe tumalizane lakini nikawaza je nikimalizana nao wakaingiwa na tamaa na kubaki na copy/idea ya hiyo kazi yangu akaiuza au akaingiza sokoni bila utaratibu itakuwaje?

Option ya pili ni kwenda Kwa haya makampuni ya IT lakini nako Sina Abcs namna ya kudeal nao ili wazo langu liwe salama .

Na je Kuna taratibu gani za kisheria zinazotakiwa kufuatwa kabla ya kuingiza App sokoni?

Najua kuna manguli humu wa hii tasnia naombeni ushauri namna nitakavyokamilisha kazi yangu.
Tuko hapa mkuu njoo tuzungumzee
 
Back
Top Bottom