Nahitaji kutimiza ndoto zangu

Nahitaji kutimiza ndoto zangu

ben mjukuu

Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
59
Reaction score
8
Wakuu habar zenu
Twende kwenye mada mimi ni kijana, nilipenda sana siku moja niishe katika ndoto zangu ambapo nilipenda nije niwe mtu fulani katika jamii yangu nisaidie watanzania wenzangu na hata familia yangu, nilisoma kwa bidii sana mchepuo wa biashara niliamini ungenipeleka katika fani niipendayo ya uhasibu, matokeo ya kidato cha nne hayakuniruhusu niendelee hivyo nikapata fomu ya kujiunga na chuo baada ya hapo nikafaulu vizuri sana nilikaa mtaani mwaka mzima kisha kuajiriwa serikalini.

Sasa kila mara wazo la kutimiza ndoto yangu ya kuwa mhasibu linanijia mara kwa mara kiukweli naipenda hiyo kazi toka moyoni kabisa tangu nikiwa fomu 1 nilinuia kuja kuwa mhasibu ila kwa sasa ni muajiriwa serkalini. Nashindwa nianzie wapi kutimiza malengo yangu wakati mwingine nawaza kurist ili nisome advance au nitafute chuo kwa ngazi ya cheti nije diploma na hatimae digrii na wakati huo nikitaka kusoma fani tofauti na niliyo nayo hairuhusiwi hapo pana nipa ugumu sana sijajua nifanye nini, kazi inakuwa ngumu sana kama sio chaguo lako.

Shida za nyumbani zilinisukuma kusoma hiyo kozi sikuwa na jinsi sasa nataka kurudi katika fani niipendayo. Ombi kwenu vijana wenzangu na wakubwa zangu nisaidieni kimawazo nyie mlifanikiwa vipi kufikia ndoto zenu na kuziishi, msaada wenu ni muhimu sana kwangu wadau.

Natanguliza shukrani zangu, asanteni sana.
 
Nani kakuambia kuwa bongo ndoto za watu huwa zinatimia?
 
kama huna cha kuchangia kaa kimya sio kila posti unataka kuchangia uwezo wko umeishia hpo mkuu,usipende kukatisha tamaa watu hakuna kisichowezekana chini ya jua kma ulishindwa ww amni mwenzio anaweza jambo likikushinda hapo ndio mwisho wako wa kufikili
 
Wakuu habar zenu
Twende kwenye mada mimi ni kijana, nilipenda sana siku moja niishe katika ndoto zangu ambapo nilipenda nije niwe mtu fulani katika jamii yangu nisaidie watanzania wenzangu na hata familia yangu, nilisoma kwa bidii sana mchepuo wa biashara niliamini ungenipeleka katika fani niipendayo ya uhasibu, matokeo ya kidato cha nne hayakuniruhusu niendelee hivyo nikapata fomu ya kujiunga na chuo baada ya hapo nikafaulu vizuri sana nilikaa mtaani mwaka mzima kisha kuajiriwa serikalini.

Sasa kila mara wazo la kutimiza ndoto yangu ya kuwa mhasibu linanijia mara kwa mara kiukweli naipenda hiyo kazi toka moyoni kabisa tangu nikiwa fomu 1 nilinuia kuja kuwa mhasibu ila kwa sasa ni muajiriwa serkalini. Nashindwa nianzie wapi kutimiza malengo yangu wakati mwingine nawaza kurist ili nisome advance au nitafute chuo kwa ngazi ya cheti nije diploma na hatimae digrii na wakati huo nikitaka kusoma fani tofauti na niliyo nayo hairuhusiwi hapo pana nipa ugumu sana sijajua nifanye nini, kazi inakuwa ngumu sana kama sio chaguo lako.

Shida za nyumbani zilinisukuma kusoma hiyo kozi sikuwa na jinsi sasa nataka kurudi katika fani niipendayo. Ombi kwenu vijana wenzangu na wakubwa zangu nisaidieni kimawazo nyie mlifanikiwa vipi kufikia ndoto zenu na kuziishi, msaada wenu ni muhimu sana kwangu wadau.

Natanguliza shukrani zangu, asanteni sana.

Embu sema ni kozi gani ulisoma chuoni, na ni kwa level gani certifacate au diploma?
 
cheti cha ualimu msingi
Kwakweli hiyo kozi sina jibu la moja kwa moja, ila kwa ushauri kama uko karibu na chuo wanachotoa kozi za biashara hasa hizo za uhasibu, then nenda uongee nao, nadhani watakupa jibu sahihi zaidi hasa ukizingatia background yako.

Karibu.
 
Safisha chet chako kwanza..kwa kusoma hayo masomo ya ECA pamoja na basic maths
baada ya hapo una choice ya kuanzia ngazi ya cheti mpka.degree.pia unaweza soma kwa.kufanya.mitihani ya bodi..(NBAA)
 
Kweli mkuu anaweza kwenda kwenye chuo kunacho toa koz hizo kama cbe mwanza ddma au dar lkn pia unaweza kuingia kwenye mtandao uka link
 
Kwakweli hiyo kozi sina jibu la moja kwa moja, ila kwa ushauri kama uko karibu na chuo wanachotoa kozi za biashara hasa hizo za uhasibu, then nenda uongee nao, nadhani watakupa jibu sahihi zaidi hasa ukizingatia background yako.

Karibu.

asante mkuu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Safisha chet chako kwanza..kwa kusoma hayo masomo ya ECA pamoja na basic maths
baada ya hapo una choice ya kuanzia ngazi ya cheti mpka.degree.pia unaweza soma kwa.kufanya.mitihani ya bodi..(NBAA)

nilipata hvi b/keeping B, commerce F,math D yaliyosalia D, nilihitimu 2010, kwa matokeo haya mkuu siwezi anzia ngazi ya cheti na badae diploma hadi digrii
 
Back
Top Bottom