HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Upo mkoa Gani maana mayai yapo Bei tofauti tofauti kila eneoWanajukwaa habari ya jumamosi.
Naombeni wenye uzoefu wa KUUZA MAYAI mnipe uzoefu nataka kuanza na mtaji wa 2M niwe na flem naombeni changamoto zake pia bei ya kununua sokoni na KUUZA
Dar es salaamUpo mkoa Gani maana mayai yapo Bei tofauti tofauti kila eneo
Sawa nije saa ngapi?Hiyo pesa njoo tule bata huku tabata,haitoshi mtaji
Wewe ni mkurya?Dar es salaam