Funguka zaidi,wewe upo wapi???Hodi wenyeji!
Habari zenu waungwana. Nina wazo la kuwa mjasiria mali ili niachane kabisa na mambo ya kutegemea mshahara wa mwisho wa mwezi. Tatizo ninalokumbana nalo ni ukosefu wa skills juu ya mambo haya. Nahitaji kutumia muda wangu mdogo ninaokuwa free baada ya kazi ktk kujipatia kipato cha ziada.
Ninahitaji ushauri juu ya:
1. Jinsi ya kubuni mradi kulingana na mtaji ( usiozidi 5m.)
2. Vitu vya kuzingati wakati wa kubuni mradi huo.
Natanguliza shukrani.
Hodi wenyeji!

Jamaa kamaliza!MKUU KUNA KITU KINAITWA THREE Cs
1. Commitment
2. Capacity
3. Confidence
Mkuu bila kuwa na hivi vitu vitatu huwezi fanya chochote kwa sababu vinaenda pamoja.
1. Commitment
-Ili ufanikiwe lazima uwe na commitment ya kufa mtu mkuu, ni lazima ujicomit sana ni lazima ukubali either kudharauriwa, kutukanwa kusemwa sana, kulaumiwa na ndugu na jamaa na marafiki, Hata kama ungekuwa na pesa kiasi gani kama huna commitment huwezi fanya chochote kile,
Ni lazima kujitoa mhanga, ni lazima kuscrifai mambo mengi sana, hapa some time utakuwa hata nyumbani huonekani, kijiweni watakuwa hawakuoni, familia yako itakumiss sana, ndugu zako utakuwa huwatembelei kama zamani, ni kwamba 85% ya akili zako i atakiwa ziwe kwenye biashara yako tu, na hizo zinazo bakia ndo zinagawanywa kwa familia, marafiki na kazalika
2. Capacity
Ni lazima uwe na uwezo wa kufanya hiyo kitu unayo tarajia kuifanya, bila kuwa na uwezo hutaweza kufanya chochote. capacity hapa ni pamoja na Capital, Education, afya yako mwenyewe na vingine vingi
3. Confidence
- Ni lazima uwe na confidence ya kufanya kitu, ukiingia katika biashara na mioyo miwili yaani unaanzisha biashara huku unawaza kufilisika au unawaza kwamba ukipata kazi ya kuajiliwa inyo lia utaachana na business, mkuu hutafankiwa, so ni lazima uwe na confidence na ijitahidi ku build hiyo confidence
Laima ujiamni kwamba utaweza kufanikiwa tu, hata kama watakusema sana wewe amini kabisa utafanikiwa, amini postively kwamba your going to make,
UKISHA KUWA NA HIZO C TATU NDO UNAWEZA FANYA HAYO MENGINE IKIWEMO KUBUNI MILADI YA KUFANYA,
Kama teyari unafanya kazi full time nadhani unaweza kufikiria kuanzisha biashara ambayo sio lazima uwepo ili iende so Duka, Bar, Mgahawa etc. Kama una ujuzi fulani ambao watu wapo teyari kuulipia hiyo nayo sio idea mbaya ila mda unaweza ukawa tatizo.
MKUU KUNA KITU KINAITWA THREE Cs
1. Commitment
2. Capacity
3. Confidence
Mkuu bila kuwa na hivi vitu vitatu huwezi fanya chochote kwa sababu vinaenda pamoja.
1. Commitment
-Ili ufanikiwe lazima uwe na commitment ya kufa mtu mkuu, ni lazima ujicomit sana ni lazima ukubali either kudharauriwa, kutukanwa kusemwa sana, kulaumiwa na ndugu na jamaa na marafiki, Hata kama ungekuwa na pesa kiasi gani kama huna commitment huwezi fanya chochote kile,
Ni lazima kujitoa mhanga, ni lazima kuscrifai mambo mengi sana, hapa some time utakuwa hata nyumbani huonekani, kijiweni watakuwa hawakuoni, familia yako itakumiss sana, ndugu zako utakuwa huwatembelei kama zamani, ni kwamba 85% ya akili zako i atakiwa ziwe kwenye biashara yako tu, na hizo zinazo bakia ndo zinagawanywa kwa familia, marafiki na kazalika
2. Capacity
Ni lazima uwe na uwezo wa kufanya hiyo kitu unayo tarajia kuifanya, bila kuwa na uwezo hutaweza kufanya chochote. capacity hapa ni pamoja na Capital, Education, afya yako mwenyewe na vingine vingi
3. Confidence
- Ni lazima uwe na confidence ya kufanya kitu, ukiingia katika biashara na mioyo miwili yaani unaanzisha biashara huku unawaza kufilisika au unawaza kwamba ukipata kazi ya kuajiliwa inyo lia utaachana na business, mkuu hutafankiwa, so ni lazima uwe na confidence na ijitahidi ku build hiyo confidence
Laima ujiamni kwamba utaweza kufanikiwa tu, hata kama watakusema sana wewe amini kabisa utafanikiwa, amini postively kwamba your going to make,
UKISHA KUWA NA HIZO C TATU NDO UNAWEZA FANYA HAYO MENGINE IKIWEMO KUBUNI MILADI YA KUFANYA,
Unaweza kuwa na commitment, capacity, confidence + MTAJI usifanikiwe kabisa!! Ngoja nilale kesho nitakuja kukushushia material.
Hodi wenyeji!
Habari zenu waungwana. Nina wazo la kuwa mjasiria mali ili niachane kabisa na mambo ya kutegemea mshahara wa mwisho wa mwezi. Tatizo ninalokumbana nalo ni ukosefu wa skills juu ya mambo haya. Nahitaji kutumia muda wangu mdogo ninaokuwa free baada ya kazi ktk kujipatia kipato cha ziada.
Ninahitaji ushauri juu ya:
1. Jinsi ya kubuni mradi kulingana na mtaji ( usiozidi 5m.)
2. Vitu vya kuzingati wakati wa kubuni mradi huo.
Natanguliza shukrani.
Unaweza kuwa na commitment, capacity, confidence + MTAJI usifanikiwe kabisa!! Ngoja nilale kesho nitakuja kukushushia material.
Heshima mbele Dr.
Kwanza niseme kwamba umenichanganya kidogo kwan title inasema unataka kuwa mjasiriamali (unaomba ushauri), lakini ushauri unaoombwa unahusu namna ya kubuni mradi. Kwa hapa inatosha kusema kwamba, kunatofauti kubwa sana kati ya kuwa mjasiriamali, kufanya biashara na kujiajiri mwenyewe.
Kuwa mjasiriamali si lazima ujiajiri Dr. Je hujawahi kusikia suala la Corporate Entrapreneurship? Kifupi ni kwamba unaweza kuwa Corporate Entrapreneur bila kujiajiri. Kama unataka kujiajiri, basi zingatia ushauri wa Komandoo. But kama unataka msaada wa namna ya kubuni miradi, basi hili ni somo refu kidogo (linastahili uzi wake na nitakuja nao kwa kipindi muafaka).
But kwa leo naomba nikupatie kitu kidogo, kitu ambacho nami nilifundishwa na Mentor wangu huku site, (lakini kama tu utakuwa umeshafanyia kazi huo ushauri wa Komandoo kwani unahusika sana). Anza na kuangalia changamoto, matatizo yanayowakabili watu katika mazingira uliyopo au ya mbali. Halafu fikiria namna ya kutatua hizo changamoto/matatizo kibiashara, ukiwa na mambo haya kichwani; motivation, know-how, capital and outlet.
Kisha jiulize maswahi haya
1. Do you have enough information about the business?
2. Are you passionate about the business?
3. Is the business viable? Remember, until you sell something, it's not a business, it's only a hobby that costs you money.
4. If you started the business, what kind of competition would you have? Don't be fooled into thinking that the business has no competitors. Every viable business has competition. Kisha Jiulize biashara yako itakuwa na uniqueness zipi?
5. Will your return on investment be worth the risks involved? Will you make more money than investing in something less risky, or a different business?
Hebu anza na hili kama Homework
Hapo kazini kwenu, mpo wafanyakazi wangapi? Wakati wa lunch mnaenda kula wapi? Je wafanyakazi wanaridhika na huduma za chakula wanazozipata? …. (Unaweza ukajikuta unaanza na Catering Services, na Soko likawa ni hao wafanyakazi wenzio).
N.B
Smart people are clever enough to bring right people on board and use them, hivyo hapo kwenye red si lazima huo ujuzi uwe nao personally
Mkuu nashukuru kwa ushauri, ila picha ninayopata hapa ni kwamba, kumbe I was wrong kufikiri kwamba kuwa na mtaji tu ndio kila kitu. Lakini pia nimeanza kupata mwanga kwa mbali kwamba niki implement hizo 3Cs nitafanikiwa.
Ombi langu sasa naomba tujikite hapo ktk kubuni mradi kwa kizingatia hayo niliyosema hapo. Yes, mmenishauri kuhusu Cattering, hotel, bar etc. nimewaelewa, lakini pia napenda kuona options nyingi zaidi ili niwe na wide range of choice kulingana na mazingira niliyopo.
Yaani nimesoma hizi post, matatizo matupu; watu hawajui hata unataka kufanya nini.. wameshaanza kuongelea 3 Cs? motivations? outlets? storage? WTF?
Mrimi,
kitu cha KWANZA kabisa inatakiwa UJUE nini unataka kufanya; haya mambo ya 3 Cs, sijui website, sijui ofisi rent, sijui simu za biashara, sijui leadership na book keeping YATAFUATA! wewe tueleze kwanza unataka kufanya nini?
hawa watu wanaokupa ushauri hapa, wamesoma articles tu na sidhani kuna mtu hata mmoja hapa amefanya biashara; sasa kama ukiona hakuna tatizo (i am aware of patent issues and copyrights), tueleze ni biashara gani unataka kufanya alafu ndio tutaanzia hapo kukushauri!? you dont need to read any article at this very moment;
By the way im a dr. Ila kiukweli most of the time natumika sana kazini. Kwa kiasi kikubwa kama nitaanzisha business, it means lazima nitatakiwa kuajiri mtu wa kuiendesha.