Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza kuonekana ni mvivu kutafuta elimu au kufikiria, ni sawa ila, ndio maana nimeweka wazi hapa hitaji langu ili wazoefu wa mambo haya wasaidie. Lakini pia sina hakika kama hili ni tatizo langu tu, naamini kuna watu wengi wenye shida kama yangu, so michango ya mawazo mnayotoa hapa ina manufaa kwa jamii nzima. Hii ni issue ya kuvumiliana tu mkuu.
Kwa Mbeya unaweza kutafuta mashamba ya kupanda migomba au maparachichi'Hass'.Mkuu nashukuru kwa ushauri, ila picha ninayopata hapa ni kwamba, kumbe I was wrong kufikiri kwamba kuwa na mtaji tu ndio kila kitu. Lakini pia nimeanza kupata mwanga kwa mbali kwamba niki implement hizo 3Cs nitafanikiwa.
Ombi langu sasa naomba tujikite hapo ktk kubuni mradi kwa kizingatia hayo niliyosema hapo. Yes, mmenishauri kuhusu Cattering, hotel, bar etc. nimewaelewa, lakini pia napenda kuona options nyingi zaidi ili niwe na wide range of choice kulingana na mazingira niliyopo.