Mkuu nashukuru kwa ushauri, ila picha ninayopata hapa ni kwamba, kumbe I was wrong kufikiri kwamba kuwa na mtaji tu ndio kila kitu. Lakini pia nimeanza kupata mwanga kwa mbali kwamba niki implement hizo 3Cs nitafanikiwa.
Ombi langu sasa naomba tujikite hapo ktk kubuni mradi kwa kizingatia hayo niliyosema hapo. Yes, mmenishauri kuhusu Cattering, hotel, bar etc. nimewaelewa, lakini pia napenda kuona options nyingi zaidi ili niwe na wide range of choice kulingana na mazingira niliyopo.