Nahitaji kuwa mnene na mimi jaman, am serious

Nahitaji kuwa mnene na mimi jaman, am serious

nfanye nini wakuu msaada wenu >
kuwa na pesa mpaka ya ziada , then kila siku upate mlo mzuri wa mafuta , kama chipsi , nyama choma ,bia na mayai ya kuchemsha . bia kunywa chupa 1 au 2 ambazo ziko katika older fermentation temperature than ales , au zinazoitwa LAGER . hasa zile zenye yeast that flocculate to the bottom
 
Kua na stress free life kwnza,then you can do the rest b'coz kama unastress hta ule chakula gni huongezeki ng'oo!!
 
Back
Top Bottom