Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,129
- 1,497
Bro haya mengine yakipasuka tair VP?Shida ya baadhi ya kijapan ni t3chnical fault wakati wa dharura kama kupasuka tairi .
Mfano .noah,harrier,Rav 4 na baadhi mengine kupasuka kwa tairi juu ya spidi 80 usipokuwa makini limeenda ,tofauti na BMW,Benz,Volkswagen na Audi
Hahaha jamaa mchochezMurano!! Babati?? Una nia mbaya na jamaa
Spare za audi zipo kibao. Uliza nikupe bei sasa hivi
Chukua kipenda roho ukiangalia sana spare utabaki kununua saresare maua...Wakuu Heshima.
Katika pitapita huku na kule ningehitaji tufahamishane Mawili matatu.
Je ni gari gani za Ama Europe au America ambazo kwa Bongo ukiwa nayo huwezi jutia sababu spare zipo kana kawaida?
Na je kwa Gari za Japan ni Toyota tu au kuna zingine ambazo spare si tatizo?
Ama tuendelee kuendesha saresare Maua!!!
Gari gani?mkuu ninahitaji mkono wa wiper yakulia...ntapata?