Nahitaji Kuwa Nje Ya Toyota!!!!

Nahitaji Kuwa Nje Ya Toyota!!!!

Shida ya baadhi ya kijapan ni t3chnical fault wakati wa dharura kama kupasuka tairi .
Mfano .noah,harrier,Rav 4 na baadhi mengine kupasuka kwa tairi juu ya spidi 80 usipokuwa makini limeenda ,tofauti na BMW,Benz,Volkswagen na Audi
Bro haya mengine yakipasuka tair VP?
 
Kwa tuliojaribu European cars mtu akiendesha Toyota unamuonea km anaendesha mdoli vile!
 
Wakuu Heshima.

Katika pitapita huku na kule ningehitaji tufahamishane Mawili matatu.
Je ni gari gani za Ama Europe au America ambazo kwa Bongo ukiwa nayo huwezi jutia sababu spare zipo kana kawaida?

Na je kwa Gari za Japan ni Toyota tu au kuna zingine ambazo spare si tatizo?

Ama tuendelee kuendesha saresare Maua!!!
Chukua kipenda roho ukiangalia sana spare utabaki kununua saresare maua...
 
Back
Top Bottom