MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 546
Ngoja wajeJamani nani anaweza kunipa utajiri.
Nahitaji kuwa na hela na maisha yangu.
Wanaume wananihonga nimechoka .
Nimechoka kutegemea mwanayme
Nipe ofa hio tafadhariUnapatikana mkoa gani?
Unaweza kusafiri kuja Ukerewe?
Gharama ni nauli yako ya kwenda na kurudi, kula kulala juu yangu.
Nitakuonesha manuva halafu utarudi kupambana na hali yako.
Ofa hii ni kwa mleta mada tu.
N.B lazima, LAZIMA UWE NA KAZI au BIASHARA