Nahitaji kuwa wakala wa Mabasi yaendayo mkoani.

Butiyangu

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Posts
123
Reaction score
168
Wakuu, mm ni mjasilia mali mdogo, nahitaji kufungua Ofsi ya Uwakala wa Mabasi yaendayo mkoani. Mimi nipo Dar lkn sehemu niliyopo inachangamoto Sana ya upatikanaji wa Ticket za mabasi pamoja na usafiri wa kuwafikisha abiria katika stand husika. Naombeni msaada wa mawazo kuhusu uzoefu wa biashara hii.
 
Jaribu kuwasiliana moja kwa moja na wahusika.
 
Back
Top Bottom