- Thread starter
- #21
Kesho nawafuata HQ wasiponirudishia hela yangu napeleka kesi kwenye vyombo husika na kuipublicize kwenye media yaan hata sikubali kama noma iwe noma tu.Si kweli shirika linahukumiwa for economic neglence or vicarious liability mahakamani matendo ya wafanyakazi ndio matendo ya shirika pia. Vitu kama hivi kuokoa gharama za kesi kawaida regulator anatakiwa azipige fine kubwa sana kampuni kama hizi mambo kama haya yanapojitokeza na kuwataka kulipia fidia za loses watu walizopata kama huyu jamaa; akienda mahakamani anatakiwa adai zaidi ya laki tatu kama wakitakaa kulipa kiistarabu.