Nahitaji kuwashtaki Vodacom

Kesho nawafuata HQ wasiponirudishia hela yangu napeleka kesi kwenye vyombo husika na kuipublicize kwenye media yaan hata sikubali kama noma iwe noma tu.
 
Nimewauliza wazoefu wamening'ata sikio kuhack system ya mpesa ndio deal wanazofanya waajiriwa wa vodacom sasa ngoja niende nao sambamba nitaleta mrejesho huku
 
Kesho nawafuata HQ wasiponirudishia hela yangu napeleka kesi kwenye vyombo husika na kuipublicize kwenye media yaan hata sikubali kama noma iwe noma tu.
Unatakiwa uanze kwao kwanza na ushahidi wako wakikataa, usisha regulator, ukienda mahakamani udai laki tatu tena bali na gharama za kesi na muda tunazungumzia mamiillioni.

Anyway kama wana akili timamu huko Vodacom inabidi walichukulie serious kwa maana hiyo ni sehemu ya biashara yao na lazima wajue hilo tatizo wanalidhibiti vipi kuwahakikishia mawakala wao trust ya huduma wanayotoa ni kitu muhimu kwao kushinda wewe provided regulator anapiga fine uzembe kama huu kama chanzo chake ni ndani ya shirika.
 
Vodacom wasumbufu sana. Nilihamisha fedha kutoka Mpesa kwenda NMB ni wiki sasa fedha haijawa Credited kwenye akaunti yangu. Kila ukizungumza na Customer Service unaambiwa baada ya 24hrs Muamala utakamilika. Naona hiyo 24hrs kwa Vodacom it can last even for a week. Wasumbufu sana.
 
Kuuliza au kueleza mmiliki wa Vodacom hayupo nje ya mada. Mwenendo wa kampuni huakisi tabia ya mmiliki. Vodacom wake hewani watoe "core values" zao tuzifananishe na mwenendo wao.
 
Me nitadeal nao perpendicular ikibidi hata international organization zitalijua hili we subiri utasikia kishindo changu
 
Me nitadeal nao perpendicular ikibidi hata international organization zitalijua hili we subiri utasikia kishindo changu
We si umekuja kuomba msaada wa kisheria? Sasa mbona unaanza kujitapa tena? Si usubiri basi upewe huo msaada.
 
Ukitaka kujua aina ya kampuni angalia aina ya shareholders wake ni watu wa aina gani,kuna mtu kamtaja lowasa ,na rostam hapo juu wakanza kumshambulia hawa watu ndo wanawapa kiburi vodacom ,mimi niliibiwa 150k ,mpaka leo nazungushwa ,sijawahi kurudishiwa na mim nikaamua kutupa lain yao ,kila siku vodacom wanalalamikiwa kuwa ni majizi makubwa lakini bado tu mijitu imekomaa na vodacom
 
We si umekuja kuomba msaada wa kisheria? Sasa mbona unaanza kujitapa tena? Si usubiri basi upewe huo msaada.
Hivi unafikiri voda ni wajinga sana au wapo wapo tu kienyeji your dead wrong wamejipanga kwelikweli wana team kubwa ya ma lawyer na kesi yako iatakuwa ya mia naaa au ata elfu naaa voda wana kesi chungu nzima kama nilivyokueleza hapo awali utaenda hapo HQ utapewa chai tu mwisho wa siku litakushuka na kukumbuka nauli yako kama kweli unataka kuwashika nenda kwanza polisi coz hiyo kesi ni ya wizi wa mtandaoni na kesi za mtandaoni zina procedure zake usijidanganye eti voda itamkaangaa staff wake kirahisi hivyo au watakwambia fulani kati yetu kahusika mkuu acha kuota mimi nilikuwa staff hapo still kuna internal investigation and procedures za kudeal na staff wake sasa wewe nenda kichwa kichwa
 
Kesho nawafuata HQ wasiponirudishia hela yangu napeleka kesi kwenye vyombo husika na kuipublicize kwenye media yaan hata sikubali kama noma iwe noma tu.
Tupo pamoja yani wewe kama mimi. Mi hata ingekuwa buku tano nakula sahani moja na wao. Haiwezekani hiyo pesa wamepiga wao. Itakuwaje system msg ionyeshe ongezeko bila float kuongezeka? Mi nipo mkoa ningekuwa Dar tungeenda pamoja.
 
badala ya kumwambia mleta mada?
 
And another thing staff wa voda akitaka kuiba haibi pesa ndogo kiasi hicho mkuu wanaiba milion 50 au 100 na kuendelea au kama anataka kukuibia anasomba hela yako yote kwenye floot yako na sio laki tatu sasa aibe hiyo for what hiyo ni michezo ya wajanja wa town tu
 
Kama kweli njoo PM nitakupa majina ya watu wa idara za fraud na ofisi zao usije enda pale usijue pa kuanzia au ukakosa msaada kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…