Nahitaji kuwekeza Tsh. Milioni 170

Nahitaji kuwekeza Tsh. Milioni 170

Za jioni wadau,

Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?

Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi.

Natanguliza shukrani.

Sijajua upo wapi ila ingekuwa kwa upande wangu wazo la kwanza lingekua ni MICROFINANCE. Kwa mtaji huo ukiuwekeza kwene microfinance ukiwa na usimamizi mzuri, software ya uchakataji wa taarifa, ufuatiliaji mzuri kwa wateja kuanzia kabla ya kukopa na baada ya kukopa basi Una possible ya kudouble hio pesa mara mbili kwa mwaka maana ukiwekeza million 150 una uhakika wa profit ya 10 million kila mwezi kama faida baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji kama mishahara na kadharika.

Lakini wazo la pili ni ununuzi wa mazao hasa maharage, harage halijawahi kukata kama mimahindi, unaweza ukawa na vyumba vyako hapo home au ukakodi sehemu, kipindi hiki ni cha mavuno ukachukua million 100 ukanunua maharage na million 50 ukanunua mpunga by mwezi wa 12 bei hupanda sana na utatengeneza faida kwa zaidi ya 35% ya pesa yako.

Wazo la tatu fedha hio fanya passive investment UTT japo return yake ni ndogo but atleast ni safe na security ya kutosha, utakuwa huna hofu na mtaji wako pamoja na faida.

Kama utashindwa sana basi fungua duka kubwa au kampuni itakayo deal sana na masuala ya angribusiness kama uuzaji wa mbolea, madawa ya kilimo, vifaa vya kilimo cha kisasa na makorokoro mengi yanayohusika na kilimo na mnyororo wa uongezaji thamani wa mazao ya shambani.
 
Sijajua upo wapi ila ingekuwa kwa upande wangu wazo la kwanza lingekua ni MICROFINANCE. Kwa mtaji huo ukiuwekeza kwene microfinance ukiwa na usimamizi mzuri, software ya uchakataji wa taarifa, ufuatiliaji mzuri kwa wateja kuanzia kabla ya kukopa na baada ya kukopa basi Una possible ya kudouble hio pesa mara mbili kwa mwaka maana ukiwekeza million 150 una uhakika wa profit ya 10 million kila mwezi kama faida baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji kama mishahara na kadharika.

Lakini wazo la pili ni ununuzi wa mazao hasa maharage, harage halijawahi kukata kama mimahindi, unaweza ukawa na vyumba vyako hapo hom au ukakodi sehemu, kipindi hiki ni cha mavuno ukachukua million 100 ukanunua maharage na million 50 ukanunua mpunga by mwezi wa 12 bei hupanda sana na utatengeneza faida kwa zaidi ya 35% ya pesa yako.

Wazo la tatu fedha hio fanya passive investment UTT japo return yake ni ndogo but atleast ni safe na security ya kutosha, utakua huna hofu na mtaji wako pamoja na faida.

Kama utashindwa sana basi fungua duka kubwa au kampuni itakayo deal sana na masuala ya angribusiness kama uuzaji wa mbolea, madawa ya kilimo, vifaa vya kilimo cha kisasa na makorokoro mengi yanayohusika na kilimo na mnyororo wa uongezaji thamani wa mazao ya shambani.
Afuate huu ushauri wako.....

Lakini kama hana idea ya biashara ya microfinance simshauri hata kidogo.

Mkuu mimi nina idea ya biashara ya nguo na viatu from A to Z milioni mbili kwa mwezi uhakika. (Kwa mtaji wako wewe unakuwa supplier mkubwa na store zako).
 
Za jioni wadau,

Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?

Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi.

Natanguliza shukrani.
Njoo Arusha, ufuge kuku wa mayai
Kipindi hiki cha baridi mayai adimu sana

Mimi next year Nina mpango wa kukopa million 400 CRDB niwekeze kwenye kuku wa mayai

Tatizo watu hawana mitaji tu. Nikipata kampuni za kichina nitajenga poultry farm ya kisasa kabisa.
 
Ila biashara kwa kuielezea tu looks very simple….ingia mzigoni sasa stress stress juu ya streess usipokuwa na roho ngumu unakufwaa na presha na kisukari
 
Ingia Kariakoo tu ndio simple answer Kariakoo ndio kitovu Cha biashara TZ Kariakoo ndio sehemu unayeweza kupata mawazo tofauti tofauti ya kibiashara ya pesa nyingi na ndogo.
 
Mkuu,
Kama kweli Upo Serious na Pesa Ipo Sio Kwenye Makaratasi nakucheck PM.Ila kwa Milioni 170 kutaka Faida ya 2 M kwa mwezi huhitaji kuumiza kichwa tembea kwenye Mabenki unaweza fanya Nao negotiation kidogo na risk ikawa Ndogo.Ila Kama Uko Serious Kabisa Nakucheck PM kuna maswali Nitakuuliza Then Huenda Ukaweza Kutengeneza Hadi 7,000,000 kwa Mwezi.
 
Afuate huu ushauri wako.....

Lakini kama hana idea ya biashara ya microfinance simshauri hata kidogo.

Mkuu mimi nina idea ya biashara ya nguo na viatu from A to Z milioni mbili kwa mwezi uhakika. (Kwa mtaji wako wewe unakuwa supplier mkubwa na store zako).
Mkuu Kwa mtu mwenye milion 12 vipi
 
Kama huna idea na experience ya biashara yoyote nakushauri hiyo Hela kanunua bonds za serikali za miaka 25 Ina interest rate ya 12.5% Kwa mwaka utakuwa unavuna milion 20 ukiwa umekaa huna stress za TRA Wala biashara kuyumba.

Nakushauri hiyo milion 20 ya interest ndio uende kufanyia biashara Ambayo kila mwaka utakuwa unaiongezea hiyo milion 20.

Ushauri wangu mwingine.

Chukua milion 20 tafuta apartment down town igeuze Airbnb. Hiyo milion 20 inatosha Kwa Kodi ya miez minne na furnitures za vyukba hata vitatu. Isajiri Airbnb. Hutakosa hata milion 1 Kwa mwezi.

Milion 150 kaweke UTT AMIS mfuko wa Bonds. Una interest rate ya 12.4%. Kwa mwaka utakuwa unavuna 18,000,000 net bila stress za TRA.

Ukiona bongo miyeyusho Nenda hata hapo Kenya Kuna government mutual funds nzuri chini ya benk kuu ya Kenya.

Hizi biashara zingine ingia ila jua Kuna vita ya tra , halmashauri, tbs , fire Yani hatari tupu.
 
Hivi kwanini sasa hivi kila mtu anawaza kuwekeza UTT na BOT, ina maana mazingira ya kufanya biashara Tanzania yamekuwa magumu sana au purchasing power ya raia imepungua sana? Yaani hakuna anayewaza hata kuhusu fursa za export.
 
Back
Top Bottom