wakukurupuka1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 525
- 1,203
Za jioni wadau,
Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?
Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi.
Natanguliza shukrani.
Jichanganye tu ila take it from mfugaji mkubwa wa kuku wa layers, hakuna investment pasua kichwa kama hio. Utakuja kutusimulia tu.Njoo Arusha, ufuge kukuku wa mayai
Kipindi hiki cha baridi mayai hadimu sana
Mimi next year Nina mpango wa kukopa million 400 CRDB niwekeze kwenye kuku wa mayai
Tatizo watu hawana mitaji tu
Nikipata kampuni za kichina nitajenga poultry farm ya kisasa kabisa
Za jioni wadau,
Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?
Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi.
Natanguliza shukrani.
Àsije akafuata huu ushauri wako. Kituo cha redio ni biashara ngumu sana kwa sasa. Vituo vingi hata mishahara wanalipa kwa mbinde. Huu ushauri wako haufai kwa sasaNjoo nikupe ramani ukafungue kituo cha radio ndani ya miezi mine hiyo pesa inarudi na faida na kituo tunakiuza tunapiga tena pesa tunaangalia ustarabu mpya
Za jioni wadau,
Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?
Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi.
Natanguliza shukrani.
Kwanini usimwache afanye mwenyewe na watu wake? Wewe endelea kujenga hizo zako. Tunashukuru kwa wazoKwahyo kwa pesa yako hiyo tunaweza kujenga nyumba mbili kali sana tukauza na kuziuza ndani ya miezi minne tushajenga nyumba mbili na kuziuza tayari(miezi miwili na nusu ujenzi mwezi mmoja na nusu kuuza)
Nyumba moja labda tunajenga kwa milioni 80 yaani kununua kiwanja na kujenga kilakitu tunakuja kuuza milioni 100 kwahyo unafaida ya milioni 20 kwa nyumba moja,
Kwa nyumba mbili unafaida ya milioni 40 kwa mtaji wa milioni 160,
Kumbuka nyumba hizi tumejenga zote na kuuza ndani ya miezi minne tuu,
Kwahyo ndani ya miezi minne tayari unafaida ya milioni 40 inamaana kwa mwezi unakuwa umetengeneza kama milioni 10 kwa mtaji wa milioni 160,
Kwa mwaka kutengeneza faida ya milioni 100 ni kawaida tuu,
Kumbuka mtaji wako unakua kwahyo kwa mwaka unaofata utatengeneza faida ya zaidi ya milioni 200 mwaka unaofata tena ni milioni 400 na kuendelea,
Aliekuwa serious apige simu tufanye kazi
Njoo tufanye kazi Boss [emoji3513] +255 714 122 011
Sio rahisi hivyoMpe mchina akupe yutong moja Kwa mkopo utammlazia kisha uwe konda utalaza kila siku laki 7 faida
Yaani 170m unataka rejesho la 2m/month? Hauko seriousZa jioni wadau,
Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?
Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi.
Natanguliza shukrani.
KwakoSio rahisi hivyo
Nyumba tisa kwa Mil 170🤔Jenga Pangisha.Mikoani unapata nyumba 9-10 standard.
Hapo hukosi M 2-4 .Uhakika
Yes.Na Chenchi inabakiNyumba tisa kwa Mil 170🤔
Mutual funds na hizi Bonds za serikali sio biashara ni investment. Zipo miaka na miaka nashangaa unasema eti Sasa hivi watu wanakimbilia huko kuwekeza wakati watu wanaweka huko billions and billions miaka na miaka.hivi kwanini sasa hivi kila mtu anawaza kuwekeza UTT na BOT , ina maana mazingira ya kufanya biashara Tanzania yamekuwa magumu sana au purchasing power ya raia imepungua sana? Yani hakuna anayewaza ata kuhusu fursa za export
Frequency anapata wapi wakati zishajaa zote?Njoo nikupe ramani ukafungue kituo cha radio ndani ya miezi mine hiyo pesa inarudi na faida na kituo tunakiuza tunapiga tena pesa tunaangalia ustarabu mpya
Kwamba rejesho dogo au kubwa sana?Yaani 170m unataka rejesho la 2m/month? Hauko serious
Upo vizuri sana! Je unaweza kuwa mtaalamu wa maswala ya kuandaa bussiness plan?Sijajua upo wapi ila ingekuwa kwa upande wangu wazo la kwanza lingekua ni MICROFINANCE. Kwa mtaji huo ukiuwekeza kwene microfinance ukiwa na usimamizi mzuri, software ya uchakataji wa taarifa, ufuatiliaji mzuri kwa wateja kuanzia kabla ya kukopa na baada ya kukopa basi Una possible ya kudouble hio pesa mara mbili kwa mwaka maana ukiwekeza million 150 una uhakika wa profit ya 10 million kila mwezi kama faida baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji kama mishahara na kadharika.
Lakini wazo la pili ni ununuzi wa mazao hasa maharage, harage halijawahi kukata kama mimahindi, unaweza ukawa na vyumba vyako hapo hom au ukakodi sehemu, kipindi hiki ni cha mavuno ukachukua million 100 ukanunua maharage na million 50 ukanunua mpunga by mwezi wa 12 bei hupanda sana na utatengeneza faida kwa zaidi ya 35% ya pesa yako.
Wazo la tatu fedha hio fanya passive investment UTT japo return yake ni ndogo but atleast ni safe na security ya kutosha, utakua huna hofu na mtaji wako pamoja na faida.
Kama utashindwa sana basi fungua duka kubwa au kampuni itakayo deal sana na masuala ya angribusiness kama uuzaji wa mbolea, madawa ya kilimo, vifaa vya kilimo cha kisasa na makorokoro mengi yanayohusika na kilimo na mnyororo wa uongezaji thamani wa mazao ya shambani.