Nahitaji kuzifahamu hizi bunduki

Joao de Matos

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
334
Reaction score
268
Hi inaitwa Tavor,

Naomba kuifahamu zaidi kuwa ina inauwezo gani na Ni Aina gani.


Ya pili Ni hi
Inaitwa double barrel Gilboa snake rifle,
Sijaelewa inakazi gani maana Naina in sehemu mbili za kutoa risasi Sasa sijajua inakazi gani.

Na nimeona hata Jwtz wanaitumia Sasa sijajua inakazi gani.


Siajua hizo Zina kazi gani au Ni Kama tuu zile za kawauda zenye sehemu moja ya tolea risasi au?
 

Attachments

  • o6w7144bigb81.jpg
    87.7 KB · Views: 9
  • o6w7144bigb81.jpg
    87.7 KB · Views: 7
  • o6w7144bigb81.jpg
    87.7 KB · Views: 10
Protocol hairuhusu kuelezea hapa
 
Yani hufaham bunduki ina kazi gani mkuu?
Naona Kama sijaeleweka,
Yani namaanisha hasa hii ya pili
Ni bunduki ina yani niseme sehemu mbili za kutoa risasi
Sasa nilikuwa nahitaji kujua sababu ya kuweka hivyo, na ni kwa Nini hiwe hivyo.
 
Ww unazijua hadi majina alafu bdo unaulizia kazi yake? Ingia Google utaelezwa uko na watengenezaji kwani ww ni HAMZA PART2?
 
Naona Kama sijaeleweka,
Yani namaanisha hasa hii ya pili
Ni bunduki ina yani niseme sehemu mbili za kutoa risasi
Sasa nilikuwa nahitaji kujua sababu ya kuweka hivyo, na ni kwa Nini hiwe hivyo.
Hiyo double barrel gun ni impractical to use na hapo nadhani imetumika kama show off tu lakini hakuna soldier mwenye Akili akatumia bunduki hiyo vitani.
kwanza shabaha kulenga ni ngumu,pili ni upotevu wa risasi,tatu ni complicated kutumia na kureload.

Ndio maana hujawahi kuiona hiyo bunduki kwenye vita au mission yoyote
 
Kwakua unajua majina Tumia Google kila kitu kipo wazi hakuna Siri yoyote kuhusu hizo silaha, waliopewa wazitumie wenyewe ukiwaambia wakuelezee watakupiga kamba hawana elimu ya kutosha kuhusu walicho beba zaid ya kufunga na kufungua kuweka magazine na kutoa
 
FANYENI KAZI
 
kaz yake nikuwa
 
Tafta gem la Pubg utaziona zote, na uwezo wake ziko tofaut
Hyo ya pili ni M416
Ni bunduki nzr sana katika medium range na ina nguvu sana ni ya waGermain
Hyo ya kwanza ni P90, smg family na ni ya wa Belgium
 
Naona Kama sijaeleweka,
Yani namaanisha hasa hii ya pili
Ni bunduki ina yani niseme sehemu mbili za kutoa risasi
Sasa nilikuwa nahitaji kujua sababu ya kuweka hivyo, na ni kwa Nini hiwe hivyo.
Boss hapa jukwaani utachanganywa tu... Take your time ingia Youtube kula elimu I hope utapata zaidi ya unachouliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…