Nahitaji kwenda Gerezani! Kifungo kisichozidi miezi 6. Nitende Kosa Gani?

Nahitaji kwenda Gerezani! Kifungo kisichozidi miezi 6. Nitende Kosa Gani?

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Mengi yanazungumzwa kuhusu Gerezani, Sasa mimi nahitaji nikajionee, sitaki hadithi.

Ni kosa lipi nikitenda, litanifanya niende Jela japo kwa wiki kadhaa? (isizidi miezi sita).
Nataka nikapate uzoefu wa mambo kadha wa kadha huko Jela.

Nawasilisha!
 
Ongea na mtu aliyetoka gerezani au tembelea gereza lolote kwa siku kadhaa wafugwa mbalimbali, unaweza ukawapelekea vitu vidogo sio lazima uingie mwenyewe kwa kufanya uhalifu na kupewa rekodi ya uhalifu.
 
Endesha gari bila lesen trafiki akikumata mwambie huna pesa ya faini akupeleke mahakaman. Ukifika mahakaman ushahidi ukikamilika hakimu atakutaka ulipe faini au ufungwe kifungo kisichozid miez 6.
 
Back
Top Bottom