cetterhutter
Senior Member
- Sep 5, 2017
- 167
- 75
Nahitaji kwenda Pemba lengo nukununua laptop nasimu used nasikia bei nichini zaidi ya Dar.cetterhutter, Ww unataka kuja unguja siyo pemba
Bos mbona nimeweka nahitaji kwenda pemba lengo nikununua laptop nasimu used nasikia kule nibei lahis sana kuliko darKwanini usiweke hapa hapa taarifa labda zitawasaidia wengi
Kwahiyo inatakiwa nipande boti ganiAsante ndugu nikifika pale nasema nataka boti yakwenda pemba au boti yoyote iluyoko pale inaenda pemba
Kama Azam nazingine zinaishia unguja nikifika pale inatakiwa nipande boti gani naomba unielekeze vizuri bos wanguZile boti za Azam na zingine zinàishia unguja. (Zanzibar) Pemba ni kisiwa kingine kuna umbali pia kufika. So nenda pale posta na kitambulisho chako cha taifa, ulinunue tiketi bei ni 25,000 Kwa daraja la kawaida.
Sawa bos unguja maeneo maeneo gani naomba kujua ili siku nikienda isiwe tabu sana kupata madukaPemba hakuna hayo maduka ambayo utapata kwa hizo bei unazotaka mkuu, soko la biashara ya hivo vitu unavotaka lipo hapa unguja sio pemba
Bos mbona nimeweka nahitaji kwenda pemba lengo nikununua laptop nasimu used nasikia kule nibei lahis sana kuliko dar
Nashukuru sana ndugu yangu kwamaelekezo hayoWanao uza laptop na cm ni wapemba lkn wengi wao wako unguja ndio kwenyebiashara zao huletewa na na kaka zao walioko njee ya Afrika Pemba zipo pia lkn kwa wingi zipo unguja maeneo ya darajani, mlandege ,mkunazini ,mjimkongwe,kwamchina, kwerekwe ,amani ,na maduka ya suma nyuma na maeneo ya mjimkongwe hivo vitu utavipata maeneo hayo niliyokutajia
Nikweli ndugu asanteni sanafuata maelezo ya mpemba hapo naona kafafanua vzur
Wanao uza laptop na cm ni wapemba lkn wengi wao wako unguja ndio kwenyebiashara zao huletewa na na kaka zao walioko njee ya Afrika Pemba zipo pia lkn kwa wingi zipo unguja maeneo ya darajani, mlandege ,mkunazini ,mjimkongwe,kwamchina, kwerekwe ,amani ,na maduka ya suma nyuma na maeneo ya mjimkongwe hivo vitu utavipata maeneo hayo niliyokutajia