Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

Nahitaji kwenda Pemba Zanzibar

hata mimi nilisha wahi kusikia hizo habari za unguja maeneo ya darajani Iphone's mpaka laki mbili tu una pata
 
Mkuu utakua huendi kutafuta mchumba kweli? maana waweza usirudi bongo
 
Zile boti za Azam na zingine zinàishia unguja. (Zanzibar) Pemba ni kisiwa kingine kuna umbali pia kufika. So nenda pale posta na kitambulisho chako cha taifa, ulinunue tiketi bei ni 25,000 Kwa daraja la kawaida.
Mkuu kama mimi ambaye sina kitambulisho badala yake nina cha mpiga kura?
 
Thread Imejibiwa Vema Haya Sasa Umeelewa Unatakiwa Kwenda Unguja Siyo Pemba
Chukua Chombo Pale Kimeandikwa Kilimanjaro (Pearl Of Stone Town) Kilimanjaro (Spirit Of Union)
 
Minaomba niutakie kila la kheri kweye kula visheti, kashata, kahawa, urojo, kupara samaki pamoja na kufunga msuli 24/7
 
Thread nzuri Sana.

Ila Nina swali la nyongoza

Utaratibu upoje kutoka na mizigo huko mfano unaenda kuchukua baiskel za mtumba TV na vitu vingine kama pasi nk

Utaratibu unakua je wakati wa kuvisafirisha yaani ushuru nk
 
Mimi nipo zanzibar kwa miaka zaidi 30 saivi. Boti zinazotoka dar es salaam nyingi zinafikia unguja. Na nauli ni 25,000 ndiyo ya chini. Inaengezeka kulingana na class. Bei ya vitu kwa pemba haina tofauti na dar, ila unguja ndiyo afazali. Nakushauri kama unataka kununua electronic device ni bora ufikia unguja tu. Watu wakitaja zanzibar wanakusudia unguja even though zanzibar ni muunganiko wa visiwa viwili navyo ni unguja na pemba
 
Thread nzuri Sana.

Ila Nina swali la nyongoza

Utaratibu upoje kutoka na mizigo huko mfano unaenda kuchukua baiskel za mtumba TV na vitu vingine kama pasi nk

Utaratibu unakua je wakati wa kuvisafirisha yaani ushuru nk
Unalipia kama unatoa mzigo nje nchi mkuu. TRA wwnakukamata
 
Back
Top Bottom