rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Kwa hiyo pemba yenyewe kuna bidhaa gani nafuu huko?,maana na mie nina mpango wa kwenda Pemba
Daaah noma sanahata mimi nilisha wahi kusikia hizo habari za unguja maeneo ya darajani Iphone's mpaka laki mbili tu una pata
stroke, Asante ndugu kwamchango wako nashukuru sana
Mkuu kama mimi ambaye sina kitambulisho badala yake nina cha mpiga kura?Zile boti za Azam na zingine zinàishia unguja. (Zanzibar) Pemba ni kisiwa kingine kuna umbali pia kufika. So nenda pale posta na kitambulisho chako cha taifa, ulinunue tiketi bei ni 25,000 Kwa daraja la kawaida.
Nasubili jibu ya hiliMkuu kama mimi ambaye sina kitambulisho badala yake nina cha mpiga kura?
Nasubili jibu ya hili
Sio lazima kitambulisho hata barua ya Serikali ya Mitaa inakuruhusu kusafiria. ( wanachotaka ni uthibitisho wa Uraia wako)
Unalipia kama unatoa mzigo nje nchi mkuu. TRA wwnakukamataThread nzuri Sana.
Ila Nina swali la nyongoza
Utaratibu upoje kutoka na mizigo huko mfano unaenda kuchukua baiskel za mtumba TV na vitu vingine kama pasi nk
Utaratibu unakua je wakati wa kuvisafirisha yaani ushuru nk