AFRICAN BOYI
Senior Member
- Dec 9, 2019
- 119
- 338
Wakuu habari zenu,
Nimekuwa nikitafuta mishe yoyote ya kupiga hapa mjini bongo bila mafanikio yoyote yale, awali nilikuwa napiga mishe za saidia fundi. Ubaya wa hizi mishe hapa bongo ni utapata leo Kisha utakaa sana mpaka upate kazi nyingine. Angalau zile za kuweka Kambi mpaka miezi miwili huko mtu unakomaa ukitoka unatoka na kitu kweli,kama kuna mdau ana connection ya hizo mishe za kambi msaada tafadhali. Nina uhitaji wa kazi kweli.
Baada ya kuona huku bongo mambo yanakuwa magumu sasa nimeamua nielekee huko zenji kupiga vibarua ama mishe yoyote Ile angalau nipate chochote kitu ata ikiwa 10k ama 15k Kwa siku sawa tu. Wenyeji wa huko ni maeneo yapi yana fursa za vibarua. Ama mnaweza nishauri naweza fanya nini huko tofauti na hizo mishe za vibarua.
Niko tayari kutoka huku bongo muda wowote endapo nitapata muongozo sahihi, maana hapa nipo tu mambo magumu wakuu. Natoka Kila siku lakini bado ni bila bila nimeona bora nibadili uelekeo.