Nahitaji laptop Nina 350000 Tsh

Nahitaji laptop Nina 350000 Tsh

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Habari ya mchana kama Kuna yoyote Humu anauza laptop ikiwa clean. Condition itakuwa vyema

Brand iwe kati ya hizi HP, dell, Asus iwe card ya Nvdia Mx ndani

Napatikana Ukonga karibuni Dm
IMG-20241129-WA0002.jpg
 
Ww ni mpumbavu kabisa una kinyesi kichwani,,,, huoni nilimuambia kama shughuli zake sio za movements,,,! Mbwa jike
Ume ondoa doubt zote kwamba we ni kiazi,mtu ame omba laptop na picha ume wekewa unakuja kushauri pumba .utakua mban movie bila shaka .endelea kurusha jua kali apo idiot
 
Habari ya mchana kama Kuna yoyote Humu anauza laptop ikiwa clean. Condition itakuwa vyema

Brand iwe kati ya hizi HP, dell, Asus iwe card ya Nvdia Mx ndani

Napatikana Ukonga karibuni Dm View attachment 3169420
Tafuta laptop zenye ryzen 2000/3000 series unapata kwa hio budget.

Zitakua ni Quad core cpu nguvu sawa na gen ya 8 utapata pia na Graphic za radeon Vega 7/8/11 kutegemea na cpu.
 
Ushauri wa ovyo ame kwambia ana taka ya kufanyia nini ?
Aisee mbona kampa ushauri murua kabisa !!!, Yaani kama yupo sehemu moja sio mtu wa kutembea tembea achukue desktop sababu pricewise desktop ni cheaper with everything else constant, hio card ya NVIDIA kwenye Desktop au Workstation utapata kwa bei ndogo wakati hio hio au robo ikiwepo kwenye laptop bei itakuwa maradufu (kumbuka ukishaanza kuongelea graphics card nzuri hio sio laptop ya mchezo mchezo bali ni a Gaming Laptop

In short jibu lake naweza kusema ndio jibu zuri kuliko majibu yote humu ndani...
 
Aisee mbona kampa ushauri murua kabisa !!!, Yaani kama yupo sehemu moja sio mtu wa kutembea tembea achukue desktop sababu pricewise desktop ni cheaper with everything constant, hio card ya NVIDIA kwenye Desktop au Workstation utapata kwa bei ndogo wakati hio hio au robo ikiwepo kwenye laptop bei itakuwa maradufu (kumbuka ukishaanza kuongelea graphics card nzuri hio sio laptop ya mchezo mchezo (AKA Gaming Laptop)

In short jibu lake naweza kusema ndio jibu zuri kuliko majibu yote humu ndani...
Uko sahihi.
Kwa bei anayoitaja na vigezo anavyovihitaji ni ngumu kupata vinginevyo anaweza akauziwa laptop mbovu
 
Back
Top Bottom