Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
10th gen hii iligawanyika mara mbili mkuuKuna
Kuna JAMAa hapa anataka kuniuzia dell latitude 5410 ni 10 generation nadhani ila imekufa SSD tu,kwa 300,000..hapo vipi mkuu
Cpu zinazoishiwa na U haina maajabu sana ni sawa na Gen ya 8, ila still ni nzuri kwa hio bei
Cpu zinazoishiwa na G na namba kwa mbele kama G1 ama G7 etc hii ni nzuri sababu ina graphics kadi ya iris ndani ambayo ni nzuri kuliko intel HD.
So mkuu angalia processor inaishiwa na U ama G, na kama ni U ni i3 ama i5/i7? Kama ni i3 haina issue kama ni i5/i7 sio mbaya.