Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Nataka used Kwa mtu mzeeKwa bei hio hata ukipata itakusumbua au haitakuwa class, kama shughuli zako kupitia hio computer sio za movements nakushauri chukua desk top, utapa nzuri kali kabisa
Ushauri wa ovyo ame kwambia ana taka ya kufanyia nini ?Kwa bei hio hata ukipata itakusumbua au haitakuwa class, kama shughuli zako kupitia hio computer sio za movements nakushauri chukua desk top, utapa nzuri kali kabisa
Tusimpe moyo ndugu yangu ndio apate pc ya graphic card kwa 350K hii Tanzania yetu?? Labla labla na sina uwakika atafute gen ya 2-3 labla anaweza pataUshauri wa ovyo ame kwambia ana taka ya kufanyia nini ?
Ww ni mpumbavu kabisa una kinyesi kichwani,,,, huoni nilimuambia kama shughuli zake sio za movements,,,! Mbwa jikeUshauri wa ovyo ame kwambia ana taka ya kufanyia nini ?
Ume ondoa doubt zote kwamba we ni kiazi,mtu ame omba laptop na picha ume wekewa unakuja kushauri pumba .utakua mban movie bila shaka .endelea kurusha jua kali apo idiotWw ni mpumbavu kabisa una kinyesi kichwani,,,, huoni nilimuambia kama shughuli zake sio za movements,,,! Mbwa jike
Tafuta laptop zenye ryzen 2000/3000 series unapata kwa hio budget.Habari ya mchana kama Kuna yoyote Humu anauza laptop ikiwa clean. Condition itakuwa vyema
Brand iwe kati ya hizi HP, dell, Asus iwe card ya Nvdia Mx ndani
Napatikana Ukonga karibuni Dm View attachment 3169420
Nicheki whatsapp tuyajengeHabari ya mchana kama Kuna yoyote Humu anauza laptop ikiwa clean. Condition itakuwa vyema
Brand iwe kati ya hizi HP, dell, Asus iwe card ya Nvdia Mx ndani
Napatikana Ukonga karibuni Dm View attachment 3169420
Asante chief vp Uzi chip zinaweza kuplay fifa 19Tafuta laptop zenye ryzen 2000/3000 series unapata kwa hio budget.
Zitakua ni Quad core cpu nguvu sawa na gen ya 8 utapata pia na Graphic za radeon Vega 7/8/11 kutegemea na cpu.
Ndio itaplay.Asante chief vp Uzi chip zinaweza kuplay fifa 19
Chief unajua machimbo tupeNdio itaplay.
Angalia Facebook marketplace mkuu, kitu chochote kile unachonunua utapata bei rahisi kule, chukua contact muulize anapatikana wapi, kuna kipindi Kulikua na thinkpad zenye 2500U hadi 280,000Chief unajua machimbo tupe
Aisee mbona kampa ushauri murua kabisa !!!, Yaani kama yupo sehemu moja sio mtu wa kutembea tembea achukue desktop sababu pricewise desktop ni cheaper with everything else constant, hio card ya NVIDIA kwenye Desktop au Workstation utapata kwa bei ndogo wakati hio hio au robo ikiwepo kwenye laptop bei itakuwa maradufu (kumbuka ukishaanza kuongelea graphics card nzuri hio sio laptop ya mchezo mchezo bali ni a Gaming LaptopUshauri wa ovyo ame kwambia ana taka ya kufanyia nini ?
Kuna JAMAa hapa anataka kuniuzia dell latitude 5410 ni 10 generation nadhani ila imekufa SSD tu,kwa 300,000..hapo vipi mkuuAngalia Facebook marketplace mkuu, kitu chochote kile unachonunua utapata bei rahisi kule, chukua contact muulize anapatikana wapi, kuna kipindi Kulikua na thinkpad zenye 2500U hadi 280,000
Mfano kama hii
Uko sahihi.Aisee mbona kampa ushauri murua kabisa !!!, Yaani kama yupo sehemu moja sio mtu wa kutembea tembea achukue desktop sababu pricewise desktop ni cheaper with everything constant, hio card ya NVIDIA kwenye Desktop au Workstation utapata kwa bei ndogo wakati hio hio au robo ikiwepo kwenye laptop bei itakuwa maradufu (kumbuka ukishaanza kuongelea graphics card nzuri hio sio laptop ya mchezo mchezo (AKA Gaming Laptop)
In short jibu lake naweza kusema ndio jibu zuri kuliko majibu yote humu ndani...