Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
10th gen hii iligawanyika mara mbili mkuuKuna
Kuna JAMAa hapa anataka kuniuzia dell latitude 5410 ni 10 generation nadhani ila imekufa SSD tu,kwa 300,000..hapo vipi mkuu
Ni i710th gen hii iligawanyika mara mbili mkuu
Cpu zinazoishiwa na U haina maajabu sana ni sawa na Gen ya 8, ila still ni nzuri kwa hio bei
Cpu zinazoishiwa na G na namba kwa mbele kama G1 ama G7 etc hii ni nzuri sababu ina graphics kadi ya iris ndani ambayo ni nzuri kuliko intel HD.
So mkuu angalia processor inaishiwa na U ama G, na kama ni U ni i3 ama i5/i7? Kama ni i3 haina issue kama ni i5/i7 sio mbaya.
Chukua mkuu, ssd sio issue sana, laptop za kisasa kama hizo zina M2 port, waweza eka ssd ndogo tu kama 256GB then kwenye sata ukaweka HDD kubwa.Ni i7
Asante sana chief ubarikiweAngalia Facebook marketplace mkuu, kitu chochote kile unachonunua utapata bei rahisi kule, chukua contact muulize anapatikana wapi, kuna kipindi Kulikua na thinkpad zenye 2500U hadi 280,000
Mfano kama hii
Mkwa chief naomb no yako ya WhatsApp please nahitaji msaada wako mzee10th gen hii iligawanyika mara mbili mkuu