Nahitaji link ya Public Audit Act 2008

Nahitaji link ya Public Audit Act 2008

Ndembwela

Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
13
Reaction score
6
Nimejaribu kutafuta link ya hiyo Act bila mafanikio. Kuna mahali nilipata amendments tu na si Act kamili.Msaada kwa anaejua tafadhali.
Nilipita site ya bunge pia bila mafanikio.
 
Asante kwa link mkuu lakini haipo humo. mob
 
Last edited by a moderator:
mkuu kama upo dar pita mitaa ya posta GVT bookshop nadhani ziko mkuu.
 
Back
Top Bottom