Nahitaji logo kwa ajili ya Microfinance company

Nahitaji logo kwa ajili ya Microfinance company

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
561
Naamini kuna wajasiriamali wengi tu wapo humu JF ambao wanajishughulisha na kutengeneza logo.kama wewe ni mmojawapo naomba tuwasiliane
 
Kaka kuna yeyote tuwasiliane
 
cheki na 0713990882. sio Mimi hapo ndo wanafanya huduma hiyo wanaitwa plan b. wako sinza mori
 
0783250210 huyu jamaa ni noma for designing logos,hataku disappoint
 
Back
Top Bottom