The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
Biashara yangu ina Jina lakini haina Logo nimekua nikiwaza kuhusu hili muda mrefu lakini sikua nalipa kipaumbele sana ila sasa naona linaelekea kuni cost huko mbeleni.
Sina pesa wakuu naommba yeyote ataechukua MUDA wake kunipa design nzuri ya LOGO zile za motion kama maandishi ya ITV yanavyojigeuza geuza au WASAFI zile triangle zinavyojiunga unga,nk
yeyote ataeweza nisaidia hili najua namna inaumiza kichwa na akili,nitatoa ASANTE ya 50,000 hii sio kwamba namlipa kwa kazi yake ila ni asante tu ila huko mbeleni namuahidi nitampa mara 5 ya hiii endapo nitaipitisha RASMI.
logo yoyote nitakayoipitisha NITAILIPIA 300,000 lakini kwa mwanzo huu ninapozikusanya nitatoa asante ya 50,000 tu.
Logo nitakayoipitisha nitaiweka Hadharani hapa ili wengine mumjue mbunifu wetu ambae namini kwa kazi kubwa atayoifanya atapata pongezi na hata KAZI pia kwa wenye uhitaji wa mtu wa design.
Kwasasa Msaada wenu watu wa Graphics.... Asante yangu ni 50,000 hiii ni ahadi iliyo wazi kwa logo nitakayoipitisha.
1.Picture Logo
2.Motion Logo
ASANTENI