kukumega JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 1,134 Reaction score 478 Dec 28, 2016 #1 Nataka nifanye biashara ya viatu, kwa eneo niopo. Nahitaji M5 kama mtaji. Mwenye wazo au ushauri namna ya kupata hii hela tafadhali nahitaji sana ushauri au maoni yako au kama kunamtu ajaeweza kunikopesha na anikope.
Nataka nifanye biashara ya viatu, kwa eneo niopo. Nahitaji M5 kama mtaji. Mwenye wazo au ushauri namna ya kupata hii hela tafadhali nahitaji sana ushauri au maoni yako au kama kunamtu ajaeweza kunikopesha na anikope.
essaugervas JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 580 Reaction score 280 Dec 30, 2016 #2 sidhani kama kunaa wazo zuri hapo zaidi ya kutafuta mtaji,,au kama unakopesheka kakope